Majadiliano:Mapafu
Mapafu ni ogani inayo husika na mfumo wa upumuaji . mapafu hufanya kazi ya kuingiza oksijeni na kutoa hewa ya kaboni daioksaidi
wanyama kama binadamu na ndege na kama njiwa huwa na mapafu mawili na hujulikana kama pafu la kulia na pafu la kushoto
UMUHIMU WA MAPAFU KATIKA MWILI WA KIUMBE HAI
- 1*husaidia kuingiza [[damu safi|[[damu]] safi]] katika mwili wa binadamu.
- 2*ni kituo kikuu cha mfumo wa upumuaji
- 3*mapafu ni miongoni mwa ogani muhimu katika mfumo wa damu
MAPAFU YA NDEGE
mapafu ya ndege hayana alveoli, badala yake yana mamilioni ya para-bronchi. Hizi para-bronchi zinakuwa na kapilari au mishipa ya damu midogo sana,hivyo utofauti baina ya mapafu ya binadamu na ya ndege kunaweza kuwa baina ya oksijeni na kaboni daioksaidi zinavyochangamana katika mapafu ya ndege.si kama katika mamalia ambapo utofauti wa mapafu ya ndege na wanyama unaweza kuonekana kuanzia kwenye alveoli. Jamii:biologia Jamii:upumuaji
Start a discussion about Mapafu
Talk pages are where people discuss how to make content on Wikipedia the best that it can be. You can use this page to start a discussion with others about how to improve Mapafu.