Majadiliano:Mange Kimambi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makala haina mwaka wa kuzaliwa. Ambayo ni muhimu sana. Bado kuna matumizi ya tarakimu katika maandishi.--Muddyb Mwanaharakati Longa 12:28, 8 Septemba 2018 (UTC)

Haieleweki.[hariri chanzo]

Makala inadai huyu ni mwanadada mwenye "ushawishi mkubwa sana katika nchi ya Tanzania" (kama ni kweli anastahii makala). Lakini haionyeshi ana ushawishi namna gani. Kwa hiyo nina wasiwasi kama makala hii inaweza kubaki? Kipala (majadiliano) 11:33, 21 Mei 2019 (UTC)

Wiki Loves Women[hariri chanzo]

Si huyo tu. Kuna wanawake wengi wameingizwa ambao si maarufu. Huyo wanasema ana wafuasi milioni mbili. Kweli? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:56, 21 Mei 2019 (UTC)

Sawa, kwa hiyo kuna wakati kuichungulia makala. Hii ni sababu nimerudisha vigezo vinavyoonyesha mashaka na kuingiza makala katika jamii ya makala yenye mashaka. Sioni milioni 2 wafuasi kwenye midia wanamfanya mtu kuwa "mshawishi". (hapo sisi wawili tungepaswa kuwemo!). Kama hakuna jibu nitapeleka makala kwenye mapendekezo ya kufuta. Kipala (majadiliano) 18:35, 21 Mei 2019 (UTC)
Mimi sina shida. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:14, 22 Mei 2019 (UTC)