Majadiliano:Makala za msingi - orodha ya meta Feb 2008

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ushauri: Labda hii tuipandikize juu ya sehemu ya "Makala za msingi za kamusi elezo" halafu hii tuifute. Kwasabu hakutakuwa na sababu ya kuwepo kwa hizi zote mbili, hii peke yake yatosha kwa lengo la kufananisha na ile ya MetaWiki. Hapo vipi?--"Mwanaharakati" (talk) 05:09, 6 Machi 2008 (UTC)

Nimesita lakini sasa nakubali. Nahamisha orodha hii ifike mbele. --Kipala (majadiliano) 20:20, 24 Novemba 2008 (UTC)