Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Lwivala

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Habari zinazopatikana hazitoshi kuunda makala ya pekee. Hasa hatujui jina la mwamba au jabali yenye umbo hili (je kuna jina halisi?) maana kwenye vyanzo vya Kiingereza unaitwa "Lwivala rock" au pia "glittering rock". Lwivala inaonekana ni jina la msitu si la jabali. Napendekeza kuhamisha maudhui kwenda makala za Imalinyi (maana Igodivaha ni kijiji cha Imalinyi) na Wilaya ya Wanging'ombe. Halafu habari inahitaji kusahihishwa, hakuna "ramani ya Afrika" bali kuna umbo usoni mwake unaofanana na umbo la ramani ya Afrika. Kipala (majadiliano) 19:05, 10 Septemba 2018 (UTC)[jibu]