Imalinyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Lwivala)

9°11′28″S 34°37′41″E / 9.191°S 34.628°E / -9.191; 34.628


Kata ya Imalinyi
Majiranukta: -9.191
Nchi Tanzania
Mkoa Njombe
Wilaya Wanging'ombe
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 10,272

Imalinyi ni kata ya Wilaya ya Wanging'ombe katika Mkoa wa Njombe, Tanzania. Msimbo wa posta ni 59316.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 10,272 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,529 [2] walioishi humo.

Kata hii upande wa kijiji cha Igodivaha inapakana na msitu wa Lwivala ambako wenyeji wanakwenda kwa sadaka na sherehe [3]. Katika msitu huo kuna jabali la ajabu. Kwenye uso wa mwamba huo kuna umbo unaofanana na umbo la ramani ya Afrika ambao ni kivutio cha watalii[4].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.nbs.go.tz, uk 212
  2. "Sensa ya 2012, Njombe - Wanging'ombe DC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2017-03-28. 
  3. Njombe region Archived 29 Julai 2018 at the Wayback Machine., tovuti ya tanzaniatourism.go.tz, iliangaliwa Septemba 2018
  4. Ramani ya bara la Afrika iliyochorwa kwenye Jabali Njombe Tanzania, tovuti ya BBC News Swahili, iliangaliwa Spetemba 2018

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Wanging'ombe - Tanzania

Igima | Igosi | Igwachanya | Ilembula | Imalinyi | Itulahumba | Kidugala | Kijombe | Kipengele | Luduga | Makoga | Malangali | Mdandu | Saja | Udonja | Uhambule | Uhenga | Ulembwe | Usuka | Wangama | Wanging'ombe


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Imalinyi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.