Majadiliano:Kikushi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Labda makala ihamishwe kwenda Kikushi (Nigeria)? Yaani kuna jina la "Kushi" katika Biblia halafu ufalme wa kihistoria ya Kush / Kushi katika Sudan ya leo, pamoja na towashi wa Kushi. Kipala (majadiliano) 20:29, 22 Mei 2012 (UTC)[jibu]

De facto, Kipala, lakini je, hiyo makala nyingine ipo? Kawaida vitu huwekewa mabano iwapo kuna makala yenye jina sawa! Ima umesahau mzee wangu?--MwanaharakatiLonga 07:50, 23 Mei 2012 (UTC)[jibu]
Asanteni kwa mashauri. Kwa sasa, napendekeza kusubiri. Neno la "Kikushi" linaonyesha kuwa ni lugha (au labda kivumishi ila vivumishi visingeingizwa kwenye kamusi elezo kama kichwa cha makala). Hakuna ubaya wa kuanzisha makala ya "Kushi" au "Ufalme wa Kikushi" n.k. - zikishaongezwa tutaweza kutofautisha kutakavyohitajika. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 07:03, 24 Mei 2012 (UTC)[jibu]
Tumekusoma mkubwa wa kazi, Over!--MwanaharakatiLonga 07:52, 24 Mei 2012 (UTC)[jibu]