Kikushi
Mandhari
Kikushi ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakushi. Mnamo Mwaka 1995 idadi ya wasemaji wa Kikushi ilihesabiwa kuwa watu 11,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikushi iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikushi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikushi Archived 6 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikushi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kuh
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikushi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |