Mai Musodzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elizabeth Maria "Mai" Musodzi Ayema MBE (1885-1952) alikuwa mwanaharakati wa Zimbabwe na mhudumu wa jamii kutoka Salisbury.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Musodzi Chibhaga alizaliwa mwaka 1885 karibu na mji wa Salisbury, kwa sasa panaitwa Harare, katika bonde la mto Mazowe juu kwa Chibhaga na Mazviwana. Shangazi yake Nehanda Nyakasikana[1][2] alikua kiongozi wa kiroho wa jamii ya watu wa shona.

Yeye na ndugu zake walikuwa mayatima kufuatia maasi ya 1896-1897 dhidi ya ukoloni uliohusisha kuondoa makampuni ya Uingereza yaliyokuwa nchini Afrika Kusini. Walikwenda kuishi na mjomba wao katika kituo cha Jesuit Chishawasha. Musodzi alibatizwa Elizabeth Maria mwaka 1907.[2]

Aliolewa na sajenti wa polisi wa BSA wa Zambia Frank Kashimbo Ayema mwaka wa 1908. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mai Musodzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.