Mto Mazowe
Mandhari
Mto Mazowe (zamani: Mazoe) ni mto wa Zimbabwe na Msumbiji unaoungana na mto Luenha kabla ya kuingia katika mto Zambezi. Maji yake yanaishia katika Bahari ya Hindi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Mazowe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |