Maher Zain

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Maher Zain
Maher Zain at Tuisa charity concert Essen Germany 2012.jpg
Maelezo ya awali
Amezaliwa 16 Julai 1981 (1981-07-16) (umri 40)
Tripoli, Lebanoni
Aina ya muziki Nasheed, pop
Kazi yake Mwimbaji, Mtunzi
Ala Sauti, Piano, Gitaa, Keyboards
Miaka ya kazi 2009–
Studio Awakening Records
Tovuti https://www.facebook.com/MaherZain

Maher Zain (Kiarabu: Lua error in Module:Unicode_data at line 293: attempt to index local 'data_module' (a boolean value).‎ ; amezaliwa tar. 16 Julai, 1981[1] mjini Tripoli, Lebanon) ni mwimbaji wa Kiislamu-R&B kutoka nchini Uswidi/. Pia ni mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki vilevile. Asili yake ni Lebanoni. Alitoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la Thank You Allah, albamu iliyotamba kimataifa na yenye mafanikio na vilevile ina athira ya dini ya Kiislamu, mnamo 2009. Akatoa albamu yake ya pili Forgive Me mnamo tar. 2 Aprili, 2012.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

 • 2009: Thank You Allah
 • 2012: Forgive Me

KISOPE FROM ZANZIBAR

Singles[hariri | hariri chanzo]

 • 2009: "Palestine Will Be Free"
 • 2010: "Insha Allah"
 • 2010: "Allahi Allah Kiya Karo (Live)"
 • 2010: "The Chosen One"
 • 2011: "Freedom"
 • 2011: "Ya Nabi Salam Alayka"
 • 2011: "For the Rest of My Life"
 • 2012: "Number One For Me"
 • 2012: "So Soon"
 • 2013: "Love Will Prevail"
 • 2013: "Ramadan"
Featured
 • 2011: "I Believe" (Irfan Makki featuring Maher Zain)
 • 2011: "Never Forget" (Mesut Kurtis featuring Maher Zain)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]