Mahenge (mji)
Mahenge mjini | |
Mahali pa Mahenge katika Tanzania |
|
Majiranukta: 8°40′56″S 36°43′0″E / 8.68222°S 36.71667°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Morogoro |
Wilaya | Ulanga |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 9,523 |
Mahenge ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Ulanga katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania wenye Postikodi namba 67601. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,523 [1] walioishi humo.
Mji wa Mahenge ulianzishwa wakati wa ukoloni wa Kijerumani ukawa kituo cha kikosi cha 12 cha jeshi la Schutztruppe na makao makuu ya mkoa wa Mahenge wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani, baadaye pia wa Tanganyika katika miaka ya kwanza chini ya utawala wa Uingereza.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Sensa ya 2012, Morogoro - Ulanga DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-06-04.
![]() |
Kata za Wilaya ya Ulanga - Mkoa wa Morogoro - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Chirombola | Euga | Ilonga | Iragua | Isongo | Ketaketa | Kichangani | Lukande | Lupiro | Mahenge (mji) | Mawasiliano | Mbuga | Milola | Minepa | Msogezi | Mwaya | Nawenge | Ruaha | Sali | Uponera | Vigoi |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mahenge (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |