Magdalena Richter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Magdalena Richter (alizaliwa 7 Julai 1992) ni mchezaji wa soka wa nchini Ujerumani aliyestaafu. Alicheza kama kiungo kabla ya kustaafu kwenye timu ya wanawake ya MSV Duisburg.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Magdalena Richter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.