Nenda kwa yaliyomo

Madam C.J. Walker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Madam C.J. Walker
Alizaliwa Desemba 23 1867
Alikufa Mei 25, 1919
Nchi Marekani
Kazi yake mjasiriamali

Sarah Breedlove (Desemba 23, 1867 - Mei 25, 1919), anajulikana kama Madam C. J. Walker, alikuwa mjasiriamali na mshauri wa Marekani. Inasemekana kuwa ni mwanamke wa kwanza aliyekuwa milionea kwa nguvu zake mwenyewe nchini Marekani.

Alipokufa mali zake zilikuwa zenye thamani ya $ 600,000 (sawa na dola milioni 8 za leo). Kwa hiyo hii inaweza kuwa si kweli kabisa.

Alianzisha Madame C.J. Walker Manufacturing Company ambayo ilitoa huduma ya nywele hasa kwa wanawake Weusi.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Madam C.J. Walker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.