Matokeo ya utafutaji
Mandhari
Showing results for nabii. No results found for Nafio.
- Neno nabii (kwa Kiebrania נביא nevì, kwa wingi נְבִיאִים nevi'ìm, kwa Kiarabu نبي) linatumika kumtajia binadamu anayesema kwa niaba ya Mungu, hasa kwa...3 KB (maneno 294) - 16:14, 11 Machi 2013
- Nabii Nathani (kwa Kiebrania נתן הנביא) aliishi nchini Israeli kwenye mwaka 1000 hivi KK na habari zake zinasimuliwa katika Biblia, hasa 2Sam, 1Fal, 1Nya...2 KB (maneno 244) - 07:05, 1 Januari 2023
- au يونان, Yūnān ; kwa Kilatini: Ionas; alifariki 761 KK hivi) ni jina la nabii wa Israeli aliyeishi katika karne ya 8 KK. Pia ni jina la mhusika mkuu wa...2 KB (maneno 198) - 09:39, 8 Juni 2024
- Kiarabu إلياس, Ilyās), alikuwa nabii katika Ufalme wa Israeli wakati wa wafalme Ahabu na Ahazia (karne ya 9 KK). Habari za nabii huyo maarufu sana katika Biblia...9 KB (maneno 1,164) - 19:22, 23 Agosti 2024
- Nabii Yoeli (kwa Kiebrania יואל, Yoel, maana yake YHWH ni Mungu) alikuwa nabii wa Israeli ya Kale, labda katikati ya karne ya 4 KK. Ujumbe wake unapatikana...1 KB (maneno 137) - 12:29, 23 Septemba 2024
- Nabii Nahumu (kwa Kiebrania נחום, yaani "Aliyefarijiwa na Mungu") alikuwa nabii mjini Yerusalemu katika karne ya 7 KK, wakati wa mfalme Yosia, aliyetawala...2 KB (maneno 199) - 12:47, 17 Novemba 2024
- Katika dini, nabii wa uongo ni mtu anayejidai kuwa na karama ya unabii lakini hakubaliwi na wale wanaomuita hivyo. Anaweza kuwa nabii kweli, au kujidanganya...520 bytes (maneno 50) - 08:55, 8 Novemba 2013
- Nabii Yehu (kwa Kiebrania יֵהוּא, Yēhû, maana yake: "YHWH ni mwenyewe"; alizaliwa karne ya 10 KK) alikuwa nabii nchini Israeli katika karne ya 9 KK. Alikuwa...1 KB (maneno 129) - 06:09, 8 Mei 2023
- Nabii Obadia (jina la Kiebrania lenye maana ya "Mtumishi wa YHWH) alikuwa nabii wa Israeli ya Kale baada ya Yerusalemu kutekwa na kuteketezwa na Wababuloni...1 KB (maneno 109) - 13:10, 27 Oktoba 2024
- Nabii Gadi alikuwa nabii wa Israeli wakati wa Mfalme Daudi (mnamo mwaka 1000 KK hivi). Habari zake zinapatikana katika Biblia, kuanzia 1Sam 22:5, alipomuambia...817 bytes (maneno 98) - 21:23, 2 Aprili 2013
- Nabii Shemaya (kwa Kiebrania שְׁמַעְיָה, Šəmaʿyā, maana yake: "YHWH amesikia"; alikuwa nabii nchini Israeli katika karne ya 10 KK. Chanzo kikuu cha historia...2 KB (maneno 154) - 07:01, 1 Januari 2023
- Nabii Azaria (jina la Kiebrania עֲזַרְיָה, ‘Ǎzaryā, lina maana ya "YHWH amesaidia"; alizaliwa karne ya 10 KK) alikuwa nabii wa Israeli ya Kale ambaye...965 bytes (maneno 85) - 06:56, 1 Januari 2023
- Nabii Hagai (kwa Kiebrania חַגַּי, Ḥaggay au "Hag-i", yaani Sikukuu yangu; kwa Kigiriki: Ἀγγαῖος; kwa Kilatini Aggeus) ni mmojawapo kati ya manabii wa...2 KB (maneno 196) - 11:27, 29 Novemba 2024
- kwa Kilatini Zacharias; kwa Kiarabu زكريا Zakariya au Zakkariya) alikuwa nabii wa Mungu mjini Yerusalemu kati ya mwaka 520 KK na 518 KK. Habari zake zinapatikana...4 KB (maneno 447) - 09:41, 13 Mei 2024
- Nabii Oded (jina la Kiebrania עוֹדֵד, ‘Ōḏêḏ; alizaliwa karne ya 8 KK) alikuwa nabii wa Israeli ya Kale ambaye habari zake zinapatikana katika Kitabu cha...1 KB (maneno 103) - 07:00, 1 Januari 2023
- kitakatifu cha Uhindu. Nabii Amosi katika Israeli kaskazini Nabii Hosea katika Israeli kaskazini Nabii Isaya huko Yerusalemu Nabii Mika katika ufalme wa...1 KB (maneno 167) - 06:46, 11 Desemba 2022
- Nabii Baruku mwana wa Neria (kwa Kiebrania ברוך בן נריה) alikuwa mwandishi wa karne ya 6 KK, maarufu kama karani, mwanafunzi na rafiki mpendwa wa nabii...3 KB (maneno 321) - 23:34, 2 Februari 2024
- Nabii Mika, ambaye jina lake la Kiebrania מיכה linamaanisha "Nani kama Mungu?", alifanya kazi ya unabii wakati mmoja na Isaya (miaka 740-700 hivi K.K...3 KB (maneno 266) - 11:56, 1 Desemba 2024
- chake kama nabii Yeremia na wengineo wanavyobashiri. 641 KK-609 KK: Mfalme Yosia huko Yerusalemu Nabii Sefania katika ufalme wa Yuda. Nabii Yeremia katika...2 KB (maneno 258) - 11:45, 2 Novemba 2016