Matokeo ya utafutaji
Mandhari
- Mji ni mkusanyiko wa makazi ya watu, shule, hospitali, ofisi, maduka, viwanda n.k. ulio mkubwa kuliko ule wa kijiji. Mji ukizidi kukua unakuja kuitwa pia...3 KB (maneno 365) - 16:35, 18 Machi 2024
- Bahari ya Mediteranea (pia: Bahari ya Kati) ni bahari ya pembeni ya Atlantiki kati ya mabara ya Afrika, Ulaya na Asia ya Magharibi. Eneo lake ni takriban...2 KB (maneno 272) - 08:39, 9 Mei 2022
- Mto Kagera (kwa Kinyarwanda: Akagera) ni kati ya mito inayounda mto Nile, pia ni mto mkubwa kabisa wa kuingia ziwa la Viktoria Nyanza. Unaanzia Burundi...2 KB (maneno 133) - 12:44, 16 Julai 2019
- Kanisa Katoliki ni jina linalotumika kwa maana mbalimbali, lakini hasa kumaanisha Kanisa la Kikristo linalokubali mamlaka ya kiroho ya Papa wa Roma kama...18 KB (maneno 2,528) - 08:41, 2 Julai 2024
- Mto Perakera unapatikana katika kaunti ya Baringo nchini Kenya.Ni tawimto la mto molo ambao unaishia katika ziwa Baringo pia mto huu una ukubwa wa kilomita...510 bytes (maneno 41) - 12:12, 30 Agosti 2020
- Mto Dawa unapatikana nchini Ethiopia na unaunda mpaka wake na Kenya na Somalia. Ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia...409 bytes (maneno 26) - 12:41, 26 Julai 2020
- Mto Gilgil unapatikana nchini Kenya na unaishia katika ziwa Naivasha. Mito ya Kenya Geonames.org...289 bytes (maneno 15) - 13:00, 9 Novemba 2018
- Tsavo ni jina la mto mmojawapo wa Kenya kusini ambao unatiririka kutoka magharibi hadi mashariki na uko mpakani mwa mbuga ya kitaifa ya milima ya Chyulu...2 KB (maneno 174) - 07:29, 17 Septemba 2023
- Majiranukta (pia: mfumo majiranukta) ni mbinu ya hisabati unaoeleza nafasi ya kila nukta katika seti ya namba. Majiranukta ya kawaida hueleza nafasi ya...793 bytes (maneno 81) - 14:43, 13 Desemba 2023
- Mto wa Nzoia ni mto wa Kenya unaotoka Mlima Elgon na kuwa na urefu wa kilomita 257 (maili 160). Unatiririkia kusini na kisha magharibi hatimaye unaingia...1 KB (maneno 143) - 08:20, 9 Julai 2021
- Mto Malewa unapatikana nchini Kenya na unaishia katika ziwa Naivasha. Mito ya Kenya Geonames.org...289 bytes (maneno 15) - 12:32, 15 Novemba 2018
- Ukristo (kutoka neno la Kigiriki Χριστός, Khristos, ambalo linatafsiri lile la Kiebrania מָשִׁיחַ, Māšîăḥ, linalomaanisha "Mpakwamafuta" ) ni dini inayomwamini...63 KB (maneno 8,120) - 02:57, 29 Aprili 2024
- Watakatifu wa Agano la Kale ni watu walioishi kabla ya Kristo ambao wanaheshimiwa na Wakristo wengi, na pengine na Waislamu n.k. Baadhi yao ni: Abeli Abrahamu...1 KB (maneno 95) - 12:24, 24 Desemba 2022
- Mto Isiolo unapatikana nchini Kenya katika kaunti ya Isiolo. Ni tawimto la mto Ewaso Ng'iro, tawimto la mto Lagh Dera, ambao tena ni tawimto la mto Juba...542 bytes (maneno 47) - 13:54, 30 Agosti 2020
- Ufaransa ni nchi ya Ulaya na mwanachama mwanzilishi wa Umoja wa Ulaya. Mji mkuu ni Paris. Eneo lake ni km² 674,843; na idadi ya wakazi ni 63,044,000. Imepakana...17 KB (maneno 1,747) - 21:38, 5 Septemba 2024
- Kaskazini ni moja kati ya mielekeo minne mikuu ya dira. Mwelekeo wake ni ncha ya kaskazini ya dunia. Kinyume chake ni kusini. Jina "kaskazini" limetokana...896 bytes (maneno 102) - 17:06, 25 Septemba 2020
- Mashariki ni moja kati ya mielekeo minne mikuu ya dira. Mwelekeo wake ni upande jua linapochomoza asubuhi. Jina "mashariki" limetokana na neno la Kiarabu...1 KB (maneno 124) - 16:52, 11 Machi 2013
- Mto Muzizi unapatikana magharibi mwa Uganda (wilaya ya Mubende, wilaya ya Kyegegwa, wilaya ya Kibaale, wilaya ya Kyenjojo, wilaya ya Kabarole na wilaya...842 bytes (maneno 41) - 10:19, 23 Machi 2019
- Usawa wa wastani wa maji ya bahari hutumika kama kipimo cha kulinganisha kimo cha mahali duniani toka usawa wa bahari. Hali halisi usawa wa bahari hubadilika...605 bytes (maneno 77) - 13:29, 21 Februari 2017
- Tovuti (Kiing. website) ni mkusanyiko wa kurasa zilizoandikwa kwa lugha mbalimbali za tarakilishi kama vile HTML, PHP, XHTML na kadhalika na ambazo kwa...1 KB (maneno 135) - 11:46, 10 Septemba 2022
- methali