Tofauti kati ya marekesbisho "Ndizi"

Jump to navigation Jump to search
2 bytes removed ,  miaka 3 iliyopita
(kiungo)
Ndizi kavu au zilizokaangwa baada ya kuiva huweza kuliwa kama chakula cha kutafuna. Tofauti na matunda mengine, ni vigumu kuandaa sharubati ya ndizi, na mara nyingi zinapopondwa huishia kuwa ujiuji tu.
Hata hivyo, ndizi zinabakia kuwa miongoni mwa matundmatunda matamu sana.
 
[[Picha:M. acuminata x balbisiana.JPG|thumb|250px|Maua ya ndizi baada ya kuchanua]]
 
Maua ya ndizi katika maeneo mengi yamekuwa yakitumika kama mapambo huku na wakati mweingine huliwa yakiwa mabichi au baada ya kupikwa.
Shina la mgomba kwa jamii za watu hasa wa huko Asia, hupikwa na kuliwa. Maji maji yanayopatikana kisha hapo hutumika pia kutibu magonjwa ya figo na moyo.
 
Majani ya migomba hutumika kama sahani au vyommbo vya kuwekea chakula hasa kwa jamii zinazo endeleza tamaduni za kale na wakati wa kula vyakula vya asili. Licha ya kuhifadhi tu chakula, huambukiza ladha moja nzuri kwenye chakula.
 
[[Jamii:Chakula]]

Urambazaji