Mia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mia''' ni [[namba]] inayoandikwa '''100''' ([[moja]] [[sifuri]] sifuri) kwa [[tarakimu]] za kawaida , ila kwa [[namba za Kirumi]] '''Ⅽ''' tu (kutokana na [[neno]] la [[Kilatini]] ''centum'', yaani ''mia moja'').
'''Mia''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[namba]] inayoandikwa '''100''' ([[moja]] [[sifuri]] sifuri) kwa [[tarakimu]] za kawaida , ila kwa [[namba za Kirumi]] '''Ⅽ''' tu (kutokana na [[neno]] la [[Kilatini]] ''centum'', yaani ''mia moja'').


Ni [[namba asilia]] inayofuata [[Tisini na tisa|99]] na kutangulia [[Mia moja na moja|101]].
Ni [[namba asilia]] inayofuata [[Tisini na tisa|99]] na kutangulia [[Mia moja na moja|101]].
Ni [[mraba]] wa 10, hivyo inaweza kuandikwa 10<sup>2</sup>.
Ni [[mraba]] wa [[kumi|10]], hivyo inaweza kuandikwa 10<sup>2</sup>.


Namba 100 ni [[msingi]] wa [[asilimia]], 100[[%]] ikiwa kiwango kilichokamilika.
Namba 100 ni [[msingi]] wa [[asilimia]], 100[[%]] ikiwa kiwango kilichokamilika.
Mstari 9: Mstari 9:
==Tanbihi==
==Tanbihi==
{{Reflist}}
{{Reflist}}


<!--- See [[Wikipedia:Footnotes]] on how to create references using <ref></ref> tags which will then appear here automatically -->
<!--- See [[Wikipedia:Footnotes]] on how to create references using <ref></ref> tags which will then appear here automatically -->
{{Reflist}}
{{Reflist}}

Pitio la 10:05, 12 Julai 2016

Mia (kutoka neno la Kiarabu) ni namba inayoandikwa 100 (moja sifuri sifuri) kwa tarakimu za kawaida , ila kwa namba za Kirumi tu (kutokana na neno la Kilatini centum, yaani mia moja).

Ni namba asilia inayofuata 99 na kutangulia 101.

Ni mraba wa 10, hivyo inaweza kuandikwa 102.

Namba 100 ni msingi wa asilimia, 100% ikiwa kiwango kilichokamilika.

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.