Granada : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
picture in much higher resolution without tilted columns
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Spain Andalusia Granada BW 2015-10-25 17-28-47.jpg|thumb|400px|Uwanja wa simba katika Alhambra mjini Granada]]
[[Picha:Spain Andalusia Granada BW 2015-10-25 17-28-47.jpg|thumb|400px|Uwanja wa simba katika Alhambra mjini Granada]]
[[Picha:GranadaCathedralSideDoor.jpg|thumb|400px|Mlango wa kanisa kuu la Granada]]
[[Picha:GranadaCathedralSideDoor.jpg|thumb|400px|Mlango wa kanisa kuu la Granada]]
'''Granada''' ni [[mji]] [[kusini]] mwa [[Hispania]], kwenye jimbo la [[Andalusia]]. Kuna wakazi 233,000.


Uko miguuni pa [[milima]] ya [[Sierra Nevada]] katika [[bonde]] la [[mito]] Genil na Darro inayokutana mjini.
'''Granada''' ni mji katika kusini ya [[Hispania]] kwenye jimbo la [[Andalusia]]. Kuna wakazi 233,000.
Uko mguuni wa milima ya Sierra Nevada katika bonde la mito Genil na Darro inayokutana mjini.


Mji una majengo mashuhuri sana kama vile [[Alhambra]] na makanisa yake. Kati ya 711 hadi 1492 ilitawaliwa na Waarabu. Athira ya Kiarabu huonekana katika majengo ya kihistoria hadi leo hii.
Mji una [[Jengo|majengo]] mashuhuri sana, kama vile [[Alhambra]] na [[Kanisa|makanisa]] yake.


Kati ya miaka [[711]] na [[1492]] ilitawaliwa na [[Waarabu]]. Athira ya Kiarabu huonekana katika majengo ya [[Historia|kihistoria]] hadi leo hii.
== Viungo vya Nje ==

== Viungo vya nje ==
* [http://www.alhambradegranada.org/default_en.asp Detailed information about the Alhambra]
* [http://www.alhambradegranada.org/default_en.asp Detailed information about the Alhambra]
* [http://www.granadatur.com/en Tourist Information of Granada]
* [http://www.granadatur.com/en Tourist Information of Granada]

Pitio la 14:18, 26 Aprili 2016

Uwanja wa simba katika Alhambra mjini Granada
Mlango wa kanisa kuu la Granada

Granada ni mji kusini mwa Hispania, kwenye jimbo la Andalusia. Kuna wakazi 233,000.

Uko miguuni pa milima ya Sierra Nevada katika bonde la mito Genil na Darro inayokutana mjini.

Mji una majengo mashuhuri sana, kama vile Alhambra na makanisa yake.

Kati ya miaka 711 na 1492 ilitawaliwa na Waarabu. Athira ya Kiarabu huonekana katika majengo ya kihistoria hadi leo hii.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Granada kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.