Mtumiaji:Baba Tabita : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Tengua pitio 967792 lililoandikwa na Baba Tabita (Majadiliano) |
||
Mstari 9: | Mstari 9: | ||
{{user Mkabidhi}} |
{{user Mkabidhi}} |
||
{{user Bureaucrat}} |
{{user Bureaucrat}} |
||
{{Wakati tangu kujiunga|year=2006|month=4|day=30}} |
|||
{{boxboxbottom}} |
{{boxboxbottom}} |
||
Pitio la 14:30, 6 Februari 2016
Mtumiaji huyu ana kazi nyingi katika maisha ya kweli na hawezi kujibu maswali yako kwa uharaka zaidi. |
Baba Tabita | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
|
Ingawa jina langu rasmi ni Oliver, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa Baba Tabita kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.
Nimetoka Ujerumani lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa kiisimu, na lengo langu ni kukuza matumizi ya lugha za Tanzania. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya Kiswahili.
Tarehe 15 Januari 2016 nimefikisha michango 50,000.
Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia mwezi wa Februari 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako siingii mtandaoni hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!