Maabara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 17: Mstari 17:
*4. Usitumie kifaa kilichoharibika.
*4. Usitumie kifaa kilichoharibika.
*5. Ripoti tatizo lolote litakalojitokeza.
*5. Ripoti tatizo lolote litakalojitokeza.
6. hauruhusiwi kufanya kitu chochote bila ruhusa

7. osha mikono baada ya kumaliza kufanya majaribio au utafiti
==Sifa za maabara==
==Sifa za maabara==
*1. Iwe na madirisha makubwa.
*1. Iwe na madirisha makubwa.

Pitio la 13:55, 19 Septemba 2015

Maabara ya uganga wa kansa huko Taiwan.
Maabara ya biolojia ya molekuli huko Poznan, Poland.
Benchi katika maabara ya kemia.

Maabara ni jengo au chumba maalumu kinachotumika kwa ajili ya majaribio ya kisayansi.

Kuna aina mbalimbali za maabara, mfano: maabara za biolojia, maabara za kemia, maabara za fizikia n.k.

Vilevile kuna maabara zinazotumika katika hospitali na katika majaribio mengine ya kisayansi.

Maabara ya biolojia

Ni jengo au chumba maalumu kwa ajili ya kufanyia majaribio ya kibiolojia yahusuyo viumbe hai.

Sheria za maabara

  • 1. Usiingie ndani ya maabara mpaka uruhusiwe.
  • 2. Usikimbie ndani ya maabara.
  • 3. Usile kitu chochote ndani ya maabara.
  • 4. Usitumie kifaa kilichoharibika.
  • 5. Ripoti tatizo lolote litakalojitokeza.

6. hauruhusiwi kufanya kitu chochote bila ruhusa 7. osha mikono baada ya kumaliza kufanya majaribio au utafiti

Sifa za maabara

  • 1. Iwe na madirisha makubwa.
  • 2. Iwe na milango miwili inayofunguka kwa nje.
  • 3. Iwe na mfumo mzuri wa umeme.
  • 4. Iwe na vifaa vya kutosha.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maabara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.