Mchemraba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Cube.svg|thumb|150px|Mchemraba huwa na pande 6 zenye urefu na upana sawa]]
[[File:Cube.svg|thumb|150px|Mchemraba huwa na pande 6 zenye urefu na upana sawa]]
[[Picha:120px-Hexahedron-slowturn.gif|150px|thumbnail|Mchemraba ukizunguka]]
[[Picha:120px-Hexahedron-slowturn.gif|150px|thumbnail|Mchemraba ukizunguka]]
'''Mchemraba''' ni gimba lenye pande sita [[mraba]]. Ni hali ya pekee ya [[mchestatili]].
'''Mchemraba''' ni [[gimba]] lenye pande sita [[mraba]]. Ni aina ya pekee ya [[mchestatili]].


*Una pembe 8 ambazo zote ni [[pembemraba]] na urefu, upana na kimo vyote ni sawa.
*Una [[pembe]] 8 ambazo zote ni [[pembemraba]] na [[urefu]], [[upana]] na [[kimo]] vyote ni sawa.
*Una kona 12 sawa na nne-nne kati ya hizi ziko sambamba
*Una [[kona]] 12 sawa na nne-nne kati ya hizi ziko [[sambamba]]


== Mjao ==
== Mjao ==
* [[Mjao]] wa mchemraba unapatikana kwa kuzidisha urefu kwa upana kwa kimo. Kwa sababu hapo pand zote ni sawa inatosha kuzidisha upande wowote mara tatu.
* [[Mjao]] wa mchemraba unapatikana kwa kuzidisha urefu kwa upana kwa kimo. Kwa sababu hapo pande zote ni sawa inatosha kuzidisha upande wowote mara tatu.
*Mfano: urefu wa upande wa mchemraba ni sentimita 2 unapiga hesabu ya 2<sup>3</sup> = 2x2x2 = 8 cm<sup>3</sup> (=sentimita mjazo).
*Mfano: urefu wa [[upande]] wa mchemraba ni [[sentimita]] 2 unapiga hesabu ya 2<sup>3</sup> = 2x2x2 = 8 cm<sup>3</sup> (=sentimita mjazo).


[[Picha:Hexahedron flat color.svg|thumbnail|120px|Mchemraba ukifunguliwa]]
[[Picha:Hexahedron flat color.svg|thumbnail|120px|Mchemraba ukifunguliwa]]
Mstari 19: Mstari 19:
*[http://www.mathopenref.com/cubevolume.html Volume of a cube], with interactive animation
*[http://www.mathopenref.com/cubevolume.html Volume of a cube], with interactive animation
*[http://www.software3d.com/Cube.php Cube] (Robert Webb's site)
*[http://www.software3d.com/Cube.php Cube] (Robert Webb's site)

{{mbegu}}


[[Category:Jiometria]]
[[Category:Jiometria]]

Pitio la 07:53, 11 Aprili 2015

Mchemraba huwa na pande 6 zenye urefu na upana sawa
Mchemraba ukizunguka

Mchemraba ni gimba lenye pande sita mraba. Ni aina ya pekee ya mchestatili.

Mjao

  • Mjao wa mchemraba unapatikana kwa kuzidisha urefu kwa upana kwa kimo. Kwa sababu hapo pande zote ni sawa inatosha kuzidisha upande wowote mara tatu.
  • Mfano: urefu wa upande wa mchemraba ni sentimita 2 unapiga hesabu ya 23 = 2x2x2 = 8 cm3 (=sentimita mjazo).
Mchemraba ukifunguliwa

Eneo la uso

Mchemraba huwa na pande sita sawa. Hivyo eneo la uso wake ni eneo la upande moja mara 6.

  • Mfano: Mchemraba una urefu wa sentimita mbili. Hivyo kila upande una 2x2 = 4 sm2 mara 6 = 24 sm 2.

Viungo vya Nje