Tanganyika African National Union : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Minor fix using AWB
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 7 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2143929 (translate me)
Mstari 8: Mstari 8:
[[Category:Siasa ya Tanzania|TANU]]
[[Category:Siasa ya Tanzania|TANU]]
[[Category:Historia ya Tanzania|TANU]]
[[Category:Historia ya Tanzania|TANU]]

[[ca:TANU]]
[[de:Tanganyika African National Union]]
[[en:Tanganyika African National Union]]
[[fr:Union nationale africaine du Tanganyika]]
[[it:Unione Nazionale Africana del Tanganica]]
[[nl:Tanganyika African National Union]]
[[no:Tanganyika African National Union]]

Pitio la 19:07, 7 Machi 2013

Bendera

Tanganyika African National Union (TANU) kilikuwa chama kilichotawala Tanganyika na Tanzania hadi muungano wa chama hiki na Chama cha Afro-Shirazi cha Zanzibar ulipounda Chama cha Mapinduzi (CCM) mwaka 1977.

TANU ilianzishwa 7 Julai 1954 kutokana na Tanganyika African Association (TAA). TAA ilikuwa na mwelekeo wa kitamaduni zaidi ya siasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa Julius Kambarage Nyerere.

TANU ilishinda kila uchaguzi chini ya utawala wa kikoloni ikawa chama cha kuongoza Tanzania hadi ilipopata uhuru wake mwaka 1961. Katiba ya Taifa ya mwaka 1962 ilifanya TANU kuwa chama cha pekee nchini ikifuata mfano wa nchi za kijamaa zenye muundo wa siasa ya chama kimoja.