Abihu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pt:Abiú |
d Roboti: Imeongeza id:Nadab dan Abihu, en:Nadab and Abihu, nl:Nadab en Abihu |
||
Mstari 9: | Mstari 9: | ||
[[be:Абігу]] |
[[be:Абігу]] |
||
[[de:Abihu]] |
[[de:Abihu]] |
||
[[en:Nadab and Abihu]] |
|||
[[fr:Abihu]] |
[[fr:Abihu]] |
||
[[id:Nadab dan Abihu]] |
|||
[[nl:Nadab en Abihu]] |
|||
[[pl:Abihu]] |
[[pl:Abihu]] |
||
[[pt:Abiú]] |
[[pt:Abiú]] |
Pitio la 02:58, 30 Septemba 2012
Abihu alikuwa mwana wa kuhani mkuu Aroni ambaye pamoja na kaka yake Nadabu alifanya kosa mbele ya Mungu na kuteketezwa na moto katika jangwa la Sinai.
Ametajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo (Agano la Kale), katika kitabu cha Walawi, kwa mfano sura ya 10 kuanzia mstari wa 1.
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abihu kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |