Kikoongo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.4) (Roboti: Imeongeza hif:Kongo language
d →‎Viungo vya nje: +jamii using AWB
Mstari 12: Mstari 12:
[[Jamii:Lugha za Angola]]
[[Jamii:Lugha za Angola]]
[[Jamii:Lugha za Jamhuri ya Kongo]]
[[Jamii:Lugha za Jamhuri ya Kongo]]
[[Jamii:Lugha za Kibantu]]


[[ast:Kikongo]]
[[ast:Kikongo]]

Pitio la 15:25, 7 Aprili 2012

Kikoongo (pia: Kikongo) ni lugha ya Kibantu hasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako inahesabiwa kati ya lugha 4 za kitaifa. Kinazungumzwa na Wakoongo. Idadi ya wasemaji wa Kikoongo kama lugha ya kwanza katika Jamhuri imehesabiwa kuwa watu milioni tatu; pamoja na hayo kuna watu milioni tano ambao huongea Kikoongo kama lugha ya pili. Tena kuna wasemaji wa Kikoongo milioni moja nchini Angola na milioni moja nchini Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikoongo kiko katika kundi la H10.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoongo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.