Kito (madini) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
'''Vito''' (pia: '''johari''', '''mawe ya thamani''') ni madini adimu na ngumu zinazopendekeza kwa sababu ya rangi yao. Vinapendwa na watu na kutumiwa kama mapambo. Kito chenye thamani kubwa ni [[almasi]].
'''Vito''' (pia: '''johari''', '''mawe ya thamani''') ni madini adimu na ngumu zinazopendekeza kwa sababu ya rangi yao. Vinapendwa na watu na kutumiwa kama mapambo. Kito chenye thamani kubwa ni [[almasi]].


Mara nyingi vinakatwa au kuchongwa kwa namna mbalimbali na kutumiwa pamoja na metali adili kama [[dhahabu]] au [[fedha]] kuwa mapambo kama [[pete]], [[hereni]], [[mkufu]] au [[bizimu]].
Mara nyingi vinakatwa, kusuguliwa na kung'arishwa kwa namna mbalimbali na kutumiwa pamoja na metali adili kama [[dhahabu]] au [[fedha]] kuwa mapambo kama [[pete]], [[hereni]], [[mkufu]] au [[bizimu]].


Mifano ya vito ni
Mifano ya vito ni

Pitio la 18:18, 9 Septemba 2007

Vito na majina yao ya Kiingereza
"turquoise" ni feruzi; "ruby" ni yakuti;
Kito cha Zumaridi katika hali asilia pamoja na mwamba wa kawaida

Vito (pia: johari, mawe ya thamani) ni madini adimu na ngumu zinazopendekeza kwa sababu ya rangi yao. Vinapendwa na watu na kutumiwa kama mapambo. Kito chenye thamani kubwa ni almasi.

Mara nyingi vinakatwa, kusuguliwa na kung'arishwa kwa namna mbalimbali na kutumiwa pamoja na metali adili kama dhahabu au fedha kuwa mapambo kama pete, hereni, mkufu au bizimu.

Mifano ya vito ni

Lulu na korali hutajwa wakati mwingine pia kama kito ingawa si minerali asilia lakini dutu inayotengenezwa na wanyama.