Majadiliano:Kito (madini)
Mandhari
Kwa nini Pete zinazouzwa na maasai zinausishwa na imani za kishirikina hasa watu hupenda kusema ni pete za majini naomba wenye elimu hii watupitishe huko tuone.
- Shauri langu ni kwamba uachane na ushirikina kwa sababu ni imani potofu na itakuponza tu. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:48, 5 Septemba 2021 (UTC)