Muziki wa video : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (roboti Badiliko: es:Vídeo musical
d r2.7.2+) (roboti Badiliko: es:Video musical
Mstari 18: Mstari 18:
[[de:Musikvideo]]
[[de:Musikvideo]]
[[en:Music video]]
[[en:Music video]]
[[es:Vídeo musical]]
[[es:Video musical]]
[[fa:نماهنگ]]
[[fa:نماهنگ]]
[[fi:Musiikkivideo]]
[[fi:Musiikkivideo]]

Pitio la 11:00, 18 Februari 2012

Muziki wa video au muziki wa kuona ni filamu ambayo inawakilisha wimbo kwenye skrini ya televisheni. Video nyingi za muziki huonyesha msanii akiwa anaimba wimbo aliorekodi au akionekana akiinua-inua mdomo kupitia kwenye skirini ya luninga. Mitandao ya TV na izaya maarufu zinazopiga sana muziki wa video ni pamoja na MTV, VH1, BET, na CMT.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki wa video kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.