Kwale (ndege) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mabadilisho kadha
dNo edit summary
Mstari 14: Mstari 14:
| spishi = Angalia katiba
| spishi = Angalia katiba
}}
}}
Kwale ni [[ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Francolinus]]'' na ''[[Xenoperdix]]'' katika [[familia]] [[Phasianidae]]. Spishi tatu za ''Francolinus'' huitwa [[kereng'ende (ndege)|kereng'ende]] pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni [[mbegu]], [[mdudu|wadudu]] na [[nyungunyungu]]. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.
Kwale ni [[ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Francolinus]]'' na ''[[Xenoperdix]]'' katika [[familia]] [[Phasianidae]]. Spishi nne za ''Francolinus'' ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa [[kereng'ende (ndege)|kereng'ende]] pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni [[mbegu]], [[mdudu|wadudu]] na [[nyungunyungu]]. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.


Karibu spishi zote zinatokea [[Afrika]] lakini spishi tano zinatokea [[Asia]].
Karibu spishi zote zinatokea [[Afrika]] lakini spishi tano zinatokea [[Asia]].
Mstari 53: Mstari 53:
* ''Francolinus squamatus'', [[Kwale mabaka]] ([[w:Scaly Francolin|Scaly Francolin]])
* ''Francolinus squamatus'', [[Kwale mabaka]] ([[w:Scaly Francolin|Scaly Francolin]])
* ''Francolinus streptophorus'', [[Kwale Shingo-nyeusi]] ([[w:Ring-necked Francolin|Ring-necked Francolin]])
* ''Francolinus streptophorus'', [[Kwale Shingo-nyeusi]] ([[w:Ring-necked Francolin|Ring-necked Francolin]])
* ''Francolinus swainsonii'', [[Kwale wa Swainson]] ([[w:Swainson's Francolin|Swainson's Francolin]])
* ''Francolinus swainsonii'', [[Kereng'ende wa Swainson|Kereng'ende]] au [[Kwale wa Swainson]] ([[w:Swainson's Francolin|Swainson's Francolin]])
* ''Francolinus swierstrai'', [[Kwale wa Swierstra]] ([[w:Swierstra's Francolin|Swierstra's Francolin]])
* ''Francolinus swierstrai'', [[Kwale wa Swierstra]] ([[w:Swierstra's Francolin|Swierstra's Francolin]])
* Xenoperdix udzungwensis, [[Kwale wa Udzunga]] ([[w:Udzungwa Partridge|Udzungwa Partridge]])
* Xenoperdix udzungwensis, [[Kwale wa Udzunga]] ([[w:Udzungwa Partridge|Udzungwa Partridge]])

Pitio la 14:07, 29 Agosti 2007

Kwale
Kwale shingo-njano
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Galliformes (Ndege kama kuku)
Familia: Phasianidae (Ndege walio na mnasaba na kwale)
Jenasi: Francolinus Stephens, 1819

Xenoperdix Dinesen, Lehmberg, Svendsen, Hansen & Fjeldså, 1994

Spishi: Angalia katiba

Kwale ni ndege wa jenasi Francolinus na Xenoperdix katika familia Phasianidae. Spishi nne za Francolinus ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa kereng'ende pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni mbegu, wadudu na nyungunyungu. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.

Karibu spishi zote zinatokea Afrika lakini spishi tano zinatokea Asia.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha