Edi Gathegi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: gl:Edi Gathegi
d r2.7.1+) (roboti Nyongeza: he:אדי גטהאגי
Mstari 98: Mstari 98:
[[fr:Edi Gathegi]]
[[fr:Edi Gathegi]]
[[gl:Edi Gathegi]]
[[gl:Edi Gathegi]]
[[he:אדי גטהאגי]]
[[it:Edi Gathegi]]
[[it:Edi Gathegi]]
[[ja:エディ・ガテギ]]
[[ja:エディ・ガテギ]]

Pitio la 20:06, 10 Agosti 2011

Edi Gathegi

Edi Mue Gathegi (alizaliwa tarehe 10 Machi, 1979) ni Ani muigizaji wa filamu na jukwaani kutoka Marekani. Bila shaka anatambulika kwa jina lake la kawaida la Dr. Jeffrey Cole (aka "Big Love") kwenye maigizo ya televisheni House, vilevile kama Cheese kwenye filamu ya mwaka 2007 Gone Baby Gone na kama Laurent kwenye filamu za Twilight na New Moon.

Maisha Yake ya Utotoni

Ingawa alizaliwa jijini Nairobi,Kenya , Gathegi alikulia Albany, California.[1] Kabla ya kutunukiwa shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu cha California, Santa Barbara ,alijishughulisha sana na kucheza mpira wa kikapu na aliucheza vizuri mpaka pale alipoumia goti lake;Hali hii ilimutamausha kwa hivyo alianza masomo ya uigizaji kama "kozi rahisi". Hapo ndipo aligundua penzi lake katika taaluma ya uigizaji.[1] Baada alijiunga na Tisch School of the Arts akiwa katika Chuo Kikuu cha New York akisomea kozi ya baad ya kufuzu ya uigizaji.[1] Kazi ya Gathegi katika taaluma ya uigizaji ilianzia kwenye maigizo[2] baadhi ya mafanikio yake kwenye uigizaji ni pamoja na Two Trains Running michezo iliyoigizwa huko Old Globe Theatre, As You Like It, Twelfth Night,Othello, A Midsummer Night's Dream, na Cyrano de Bergerac, miongoni mwa maigizo mengine.[3]

Kazi

Mara ya kwanza Gathegi kuwa na jukumu la nafasi ya kuigiza kama mtaalamu ni kwenye filamu ya Haitian Cabbie mwaka 2006 Crank .Ingawa awali alikuwa amejaribwa kuigza sehemu ya muhusika Kaylo, maprodiusa walimpatia Efren Ramirez nafasi hiyo na badala yake wakampa Gathegi nafasi ya kuigiza kam Haitian Cabbie.[2] Mwanzo alipinga wazo la yey kuigiza lafudhi ya Haiti lakini alifunzwa na rafiki yake kutoka Haitian.[2] Mwaka 2007 baada ya kuigiza kama muhusika mkuu katika Lincoln Heights na Veronica Mars, Gathegi alikuwa muigizaji maarufu alipoigiza kama Bodie katika Death Sentence , Darudi in The Fifth Patient na kama Cheese katika Gone Baby Gone .Baadaye aliigiza mara kwa mara kama Mormon Intern Dr Jeffrey Cole kwenye igizo la televisheni lililohusu magonjwa na tiba House , na muigizaji mgeni [10] [11] na Life on Mars mwaka 2008 kabla ya kuigiza kama Laurent katika Twilight . kwa mara ya kwanza Gatheji alipojaribiwa kwenye filamu ya mwaka 2008, iliyotokana na jina la kitabu cha kwanza kwenye msururu wa pragramu za televisheni za Stephenie Meyer Twilight Series, alikuwa bado hajasikia kkuhusu mfululizo wa maigizo hayo na wala hakujua kwamaba angeigiza kama mzimu wa kutisha.[4] kwa sasa amesoma mfululizo wote na yeye hujiita kama shabiki sugu.[4][5]

Gathegi aliigiza kama naibu wa Martin kwenye filamu ya My Bloody Valentine 3D ya mwaka 2009.[1] Ananuia kuongoza kwenye toleo la [[chimbuko pana la filamu kwa jina Joe Turner's Njoo na Gone na pia alirejea nafasi yake kama Laurent katika filamu ya Twilight na New Moon.|chimbuko pana la filamu kwa jina Joe Turner's Come and Gone na pia alirejea nafasi yake kama Laurent katika filamu ya Twilight na New Moon.[6]]]

Filamu

mwaka Anwani Dhima Vidokezo
2006 Crank Haitian Cabbie
2007 House Dr Jeffrey Cole TV series
Gone Baby Gone Cheese
The Fifth Patient Darudi
Death Sentence Bodie
Lincoln Heights Boa TV series
2008 Twilight Laurent
2009 My Bloody Valentine 3D Naibu Martin
The Twilight Saga: New Moon Laurent

Marejeo

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 Cassandra Handley (November 4, 2008). "Q&A: Twilight's Edi Gathegi". Vanity Fair. Iliwekwa mnamo 2008-11-06.  Check date values in: |date= (help)
  2. 2.0 2.1 2.2 "Twilight Lexicon Q&A with Edi Gathegi". TwilightLexicon.com. March 10, 2008. Iliwekwa mnamo 2008-11-06.  Check date values in: |date= (help)
  3. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named mue
  4. 4.0 4.1 Denise Martin (October 28, 2008). "'Twilight' Countdown: Edi Gathegi's vampire love". Los Angeles Times. Iliwekwa mnamo 2008-11-10.  Check date values in: |date= (help)
  5. Sara Castillo (August 4, 2008). "We Speak with 'Twilight's' Jacob and Laurent!". FearNet.com. Iliwekwa mnamo 2008-11-10.  Check date values in: |date= (help)
  6. Adam B. Vary (January 30, 2009). "'Twilight' stars, Dakota Fanning talk 'New Moon'". Entertainment Weekly. Iliwekwa mnamo 2009-01-31.  Check date values in: |date= (help)

Viungo vya nje