'''ILANI:''' Kwa muda kadhaa kuanzia sasa nitakuwa na kazi nyingi mno mpaka sitaweza kuingia hapa mara nyingi. Pole na usumbufu! --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita|majadiliano]])''' 14:49, 15 Agosti 2010 (UTC)
{{busy}}
{{busy}}
Pitio la 14:49, 15 Agosti 2010
ILANI: Kwa muda kadhaa kuanzia sasa nitakuwa na kazi nyingi mno mpaka sitaweza kuingia hapa mara nyingi. Pole na usumbufu! --Baba Tabita (majadiliano) 14:49, 15 Agosti 2010 (UTC)
Mtumiaji huyu ana kazi nyingi katika maisha ya kweli na hawezi kujibu maswali yako kwa uharaka zaidi.
Baba Tabita
Mtumiaji huyu ana tovuti ambayo inaweza kupatikanika hapa.
Mtumiaji huyu anatumia muda wake mwingi kuhaririWikipedia.
Ingawa jina langu rasmi ni Oliver, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa Baba Tabita kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.
Nimetoka Ujerumani lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa kiisimu, na lengo langu ni kukuza matumizi ya lugha za Tanzania. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya Kiswahili.
Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia mwezi wa Februari 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako hakuna mtandao hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!