Sydney : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: zh-yue:雪梨 (澳洲)
d roboti Nyongeza: kl:Sydney
Mstari 74: Mstari 74:
[[ka:სიდნეი]]
[[ka:სიდნეი]]
[[kk:Сидней]]
[[kk:Сидней]]
[[kl:Sydney]]
[[km:ស៊ីដនីយ៏]]
[[km:ស៊ីដនីយ៏]]
[[kn:ಸಿಡ್ನಿ]]
[[kn:ಸಿಡ್ನಿ]]

Pitio la 04:55, 7 Julai 2010

Jumba la sanaa la mjini Sydney na Bandari ya Jackson

.Sydney ni mji wa pwani ya mashariki katika nchi ya Australia. Sydney ni mji mkubwa wa New South Wales. Takribani watu milioni 4 wanaishi katika mji wa Sydney na ndio mji mkubwa kabisa nchini Australia. Mji uligunduliwa mwaka 1788 na Arthur Phillip, aliyekuwa ofisa wa Navy Royal ya Uingereza, na mji ukawa kama sehemu ya wafungwa wa Kiingereza na Kiayalendi. The Rocks, ni sehemu mojawapo katika mji wa Sydney, ndio ilikuwa sehemu ya kwanza kuwa mji wenye mvuto katika Australia. Sasa imekuwa sehemu yenye mandhari mazuri ya bandari na ni sehemu pakujipatia kula yaani kuna mgahawa mkubwa.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: