Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)"

Jump to navigation Jump to search
nyongeza kufuatilia makala
(nyongeza "kufuatilia")
(nyongeza kufuatilia makala)
==Onyesha hakikisho==
Moja ya vipengele muhimu cha kuanza kutumia sasa ni kitufe cha '''Onyesha hakikisho la mabadiliko'''. Jaribu kufanya uhariri kwenye [[Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)/sanduku la mchanga|sanduku la mchanga]], halafu bonyeza kitufe cha '''Onyesha hakikisho la mabadiliko''' badala ya '''Hifadhi Kurasa'''. Hii inakuruhusu kuona kurasa itakavyoonekana baada ya kuhifadhi, ''kabla'' hujahifadhi. Wote twafanya makosa; kipengele hiki kinakuonyesha makosa hayo. Kutumia Onyesha Hakikisho la Mabadiliko kabla ya kuhifadhi pia inakuruhusu kujaribu kubadili miundo na maharirio mengine bila ya kupagaranyua historia ya kurasa. Usisahau kuhifadhi maharirio yako baada ya kuhakiki!
 
==Muhtasari wa kuhariri==
[[Picha:kuhariri-muhtasari.PNG|thumb|right|450px|Kitufe cha "Onyesha hakikisho la mabadiliko" kipo upande wa kulia baada ya kitufe cha "hifadhi kurasa" na chini yake ni uga ya "kuhariri muhtasari.]]
==Muhtasari wa kuhariri==
 
Kabla hujagonga '''Hifadhi kurasa''' ni adabu nzuri kuingiza maelezo mafupi sana kuhusu kile ulichobadilisha kwenye sanduku la '''Muhtasari''' lililopo baina ya dirisha la kuhariria na kitufe cha '''Hifadhi kurasa'''. Inaweza kuwa kifupi sana; kwa mfano kama unaingiza neno "typo", watu watajua kama umefanya masahihisho ya tahajia. Pia, iwapo mabadiliko uliyoyafanya kwenye kurasa yalikuwa madogo, kama vile kusahihisha tahajia na makosa ya kisarufi, kuwa makini kutazama kisanduku cha "Haya ni mabadiliko madogo" (hii inapatikana ukiwa umeingia kwenye akaunti yako tu, basi).
 
==Kufuatilia kazi yako==
[[Picha:Fuatilia screenshot.jpg|thumb|right|500px|Kitufe cha "Kufuatilia" kipo juu ya makala upande wa kulia kabisa; kitufe cha "maangalizi yangu" kiko juu ya kila dirisha.]]
Labda unapende kuangalia makala ulipochangia kwa njia ya kuhariri au makala uliyoanzisha inaendelea jinsi gani kwa njia ya michango ya wengine. Hapa unaweza kubofya juu ya makala inaposema "'''Fuatilia'''". Ukiwa mwanawikipedia aliyejiandikisha makala hii imeingizwa sasa katika orodha yako ya maangalizi. Orodha hii naweza kutazama ukibofya "'''maangalizi yangu'''" na kibonye hiki kiko juu kabisa kwenye kila ukurasa wa wikipedia.
 

Urambazaji