Pasta : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 2: | Mstari 2: | ||
[[Image:Pasta_2006_1.jpg|thumb|350px|Aina za pasta]] |
[[Image:Pasta_2006_1.jpg|thumb|350px|Aina za pasta]] |
||
⚫ | |||
⚫ | |||
Aina ya pasta inayofahamika zaidi ni [[spaghetti]]. Lakini kuna aina nyingi za pasta. |
Aina ya pasta inayofahamika zaidi ni [[spaghetti]]. Lakini kuna aina nyingi za pasta. |
||
Mstari 11: | Mstari 10: | ||
Kuna namna nyingi za kubadilisha kinyungo asilia kwa kuongeza mayai, mafuta, jibini na mengine ndani yake. |
Kuna namna nyingi za kubadilisha kinyungo asilia kwa kuongeza mayai, mafuta, jibini na mengine ndani yake. |
||
Utamu wa chakula cha pasta unakuja pamoja na |
Utamu wa chakula cha pasta unakuja pamoja na mchuzi au supu zake. |
||
Chanzo cha pasta iko katika Italia lakini zimeenea kote duniani. Ila tu hadi leo ni |
Chanzo cha pasta iko katika [[Italia]] lakini zimeenea kote duniani. Ila tu hadi leo Italia ni nchi yenye aina nyingi za pasta hizi. Tambi za kufanana lakini kwa namna tofauti zinatoka katika [[Asia ya Mashariki]]. |
||
Zinazojulikana kimataifa ni kwa mfano: |
Zinazojulikana kimataifa ni kwa mfano: |
Pitio la 14:04, 16 Aprili 2008
Pasta ni neno lenya asili ya Kiitalia kinachojumlisha chakula cha tambi kilichotengenzewa kwa kutumia unga wa nafaka hasa ngano na maji.
Aina ya pasta inayofahamika zaidi ni spaghetti. Lakini kuna aina nyingi za pasta.
Chanzo cha pasta hufanana kiasi na ugali yaani unga (wanga) unakorogwa na maji isipokuwa maji ni baridi. Kinyunga kinachotokea ni imara sana hukatwa kwa vipande vidogo venye maumbo mbalimbali na kupikwa kama vipande vya pekee. Kama pasta imekauka inatunzwa kwa muda mrefu hauozi na inapikwa haraka. Madukani inauzwa kama pasta kavu.
Kuna namna nyingi za kubadilisha kinyungo asilia kwa kuongeza mayai, mafuta, jibini na mengine ndani yake.
Utamu wa chakula cha pasta unakuja pamoja na mchuzi au supu zake.
Chanzo cha pasta iko katika Italia lakini zimeenea kote duniani. Ila tu hadi leo Italia ni nchi yenye aina nyingi za pasta hizi. Tambi za kufanana lakini kwa namna tofauti zinatoka katika Asia ya Mashariki.
Zinazojulikana kimataifa ni kwa mfano:
Viungo vya Nje
- www.archimedes-lab.org :: Pasta shapes – history and a pasta shapes list
- www.food-info.net :: Pasta shapes – a well-illustrated list
- www.lifeinitaly.com :: History of Pasta – includes pictures of how pasta is made.
- Information about Italian Pasta
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |