Mnara wa taa wa Ra's Bir : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mnara wa taa wa Ra's Bir''' ni [[mnara wa taa]] unaopatikana huko nchini [[Jibuti]], unaunganisha [[Bahari Nyekundu]] na [[Ghuba ya Aden]], ni mnara wa pili unapatikana katika eneo la Ra's Bir.
'''Mnara wa taa wa Ra's Bir''' unapatikana nchini [[Jibuti]], ikiunganisha [[Bahari Nyekundu]] na [[Ghuba ya Aden]]. Ni mnara wa pili unaopatikana katika eneo la Ra's Bir, rasi inayopatikana kaskazini mwa ghuba ya Tadjoura.


==Historia==
==Historia==
Mnara wa kwanza wa taa wa Ra's Bir ulimalizika kujengwa mnamo mwaka [[1889]] ila kwa sasa mnara huu unatumika kama kituo cha kuongozea Ndege.
Mnara wa kwanza wa taa wa Ra's Bir ulimalizika kujengwa mnamo mwaka [[1889]] ila kwa sasa mnara huu unatumika kama kituo cha kuongoza Ndege.
Mnamo mwaka [[1952]] mnara mpya ulijengwa karibu kabisa na mnara wa kwanza ukiwa na urefu wa [[mita]] 50,
Mnamo mwaka [[1952]] mnara mpya ulijengwa karibu kabisa na mnara wa kwanza ukiwa na urefu wa [[mita]] 50.
Mabaharia na [[wavuvi]] kutoka katika [[Bahari Nyekundu]] na [[Ghuba ya Uajemi]] walikuwa wakionakena umbali wa maili 20 kutoka katika eneo la mnara huu.<ref name="Agency2007">{{cite book|last=Agency|first=National Geospatial-Intelligence|title=Sailing Directions - Enroute|url=https://books.google.com/books?id=gQ-7FF8gp5oC&pg=PA166|year=2007|publisher=ProStar Publications|isbn=978-1-57785-760-0|pages=166–}}</ref>
Mabaharia na [[wavuvi]] kutoka katika [[Bahari Nyekundu]] na [[Ghuba ya Uajemi]] walikuwa wakionekana umbali wa maili 20 kutoka katika eneo la mnara huu.<ref name="Agency2007">{{cite book|last=Agency|first=National Geospatial-Intelligence|title=Sailing Directions - Enroute|url=https://books.google.com/books?id=gQ-7FF8gp5oC&pg=PA166|year=2007|publisher=ProStar Publications|isbn=978-1-57785-760-0|pages=166–}}</ref>


Kwa sasa, mnara huu umekarabatiwa na mamlaka ya [[Bandari]] ya nchi ya [[Jibuti]] na kusajiliwa chini ya ''International Admiralty'' na kupewa namba '''D7272''' na pia mnara huu unatambulika na shirika la ''National Geospatial-Intelligence Agency'' (NGA) na kupewa namba '' 113-30952''.
Kwa sasa, mnara huu umekarabatiwa na mamlaka ya [[Bandari]] ya nchi ya [[Jibuti]] na kusajiliwa chini ya ''International Admiralty'' na kupewa namba '''D7272''' na pia mnara huu unatambulika na shirika la ''National Geospatial-Intelligence Agency'' (NGA) na kupewa namba '' 113-30952''.


==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 13:02, 19 Juni 2021

Mnara wa taa wa Ra's Bir unapatikana nchini Jibuti, ikiunganisha Bahari Nyekundu na Ghuba ya Aden. Ni mnara wa pili unaopatikana katika eneo la Ra's Bir, rasi inayopatikana kaskazini mwa ghuba ya Tadjoura.

Historia

Mnara wa kwanza wa taa wa Ra's Bir ulimalizika kujengwa mnamo mwaka 1889 ila kwa sasa mnara huu unatumika kama kituo cha kuongoza Ndege. Mnamo mwaka 1952 mnara mpya ulijengwa karibu kabisa na mnara wa kwanza ukiwa na urefu wa mita 50. Mabaharia na wavuvi kutoka katika Bahari Nyekundu na Ghuba ya Uajemi walikuwa wakionekana umbali wa maili 20 kutoka katika eneo la mnara huu.[1]

Kwa sasa, mnara huu umekarabatiwa na mamlaka ya Bandari ya nchi ya Jibuti na kusajiliwa chini ya International Admiralty na kupewa namba D7272 na pia mnara huu unatambulika na shirika la National Geospatial-Intelligence Agency (NGA) na kupewa namba 113-30952.

Marejeo

  1. Agency, National Geospatial-Intelligence (2007). Sailing Directions - Enroute. ProStar Publications. ku. 166–. ISBN 978-1-57785-760-0.