Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Kufuta makala"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
(+kiungo)
{{kigezo:font color|red|'''<big>Yafuatayo bado ni pendekezo linalohitaji kuangaliwa na kukubaliwa</big>'''}}
 
'''Kufuta makala''' ni kazi ya [[wikipedia:Wakabidhi|wakabidhi]]. Kila mtu anaweza kupendekeza makala kwa ufutaji na kushiriki katika majadiliano, lakini wakabidhi pekee wana mamlaka ya kufuta kurasa, jamii, na picha. Wakati mwingine, kurasa zinaweza kufutwa mara moja kufuatana na azimio la mkabidhi mmoja tu. Kwa kawaida tunaacha kufuata utaratibu kwamba mmoja anapendekeza makala ifutwe, kupekeleka jina kwenye ukurasa wa [[Wikipedia:Makala kwa ufutaji]] na hapa inaweza kujadiliwa. Baada ya siku kadhaa mkabidi mwingine anaamua kuifuta au kuiacha, kwa kawaida baada ya maboresho.
 
Kwa kawaida tunaacha kufuata utaratibu kwamba mmoja anapendekeza makala ifutwe, kupekeleka jina kwenye ukurasa wa [[Wikipedia:Makala kwa ufutaji]] na hapa inaweza kujadiliwa.Mwanzoni mwa makala tunataka kufuta tuweke msimbo wa <big>'''<nowiki>{{futa}}</nowiki>'''</big>. Baada ya siku kadhaa mkabidi mwingine anaamua kuifuta au kuiacha, kwa kawaida baada ya maboresho.
 
Mara nyingi ni afadhali kuboresha makala kuliko kuifuta. Mara nyingi inaweza kusaidia pia kubadilisha makala mbaya kuwa makala ye [[wikipedia:Kielekezo|kielekezo]] (Redirect) kuliko kuifuta kabisa maana kutunza jina itamsaidia msomaji kufikia kwenye habari yenye maana.

Urambazaji