Krioli : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Guadeloupe creole 2010-03-30.JPG|thumb|Bango barabarani likitumia krioli ya [[Guadeloupe]].]]
[[File:Guadeloupe creole 2010-03-30.JPG|thumb|Bango barabarani likitumia krioli ya [[Guadeloupe]].]]
'''Krioli''' ni [[lugha]]<ref>[http://semantics.uchicago.edu/kennedy/classes/sum07/myths/creoles.pdf The study of pidgin and creole languages]</ref><ref>[http://euljss.eul.edu.tr/euljss/si526.pdf Language varieties: Pidgins and creoles]</ref><ref>[https://www.acsu.buffalo.edu/~jcgood/jcgood-JPCL.pdf Typologizing grammatical complexities, or Why creoles may be paradigmatically simple but syntagmatically average]</ref> inayotokana na matumizi ya [[pijini]] kwa muda mrefu. Yaani ni pijini iliyokua na kupata wasemaji wake asilia. Hivyo basi hapawezi kuwa na krioli pasipokuwa na pijini.
'''Krioli''' (ing. creole language) ni jina la kutaja [[lugha]]<ref>[http://semantics.uchicago.edu/kennedy/classes/sum07/myths/creoles.pdf The study of pidgin and creole languages]</ref><ref>[http://euljss.eul.edu.tr/euljss/si526.pdf Language varieties: Pidgins and creoles]</ref><ref>[https://www.acsu.buffalo.edu/~jcgood/jcgood-JPCL.pdf Typologizing grammatical complexities, or Why creoles may be paradigmatically simple but syntagmatically average]</ref> iliyokua kutokana na kukutana na kuingiliana lugha mbili au zaidi. Inayotokana na matumizi ya [[pijini]] kwa muda mrefu. Yaani ni pijini iliyokua na kupata wasemaji wake asilia. Hivyo basi hapawezi kuwa na krioli pasipokuwa na pijini.


Lugha hii huwa na miundo changamano. Pia inayo [[msamiati]] mwingi kutoka lugha mbalimbali, jambo linaloitofautisha pakubwa na lugha asilia.
Lugha hii huwa na miundo changamano. Pia inayo [[msamiati]] mwingi kutoka lugha mbalimbali, jambo linaloitofautisha pakubwa na lugha asilia.

Pitio la 20:42, 31 Agosti 2020

Bango barabarani likitumia krioli ya Guadeloupe.

Krioli (ing. creole language) ni jina la kutaja lugha[1][2][3] iliyokua kutokana na kukutana na kuingiliana lugha mbili au zaidi. Inayotokana na matumizi ya pijini kwa muda mrefu. Yaani ni pijini iliyokua na kupata wasemaji wake asilia. Hivyo basi hapawezi kuwa na krioli pasipokuwa na pijini.

Lugha hii huwa na miundo changamano. Pia inayo msamiati mwingi kutoka lugha mbalimbali, jambo linaloitofautisha pakubwa na lugha asilia.

Idadi ya lugha za aina hiyo ni walau 100, na nyingi kati yake zimetokana na lugha za Ulaya.

Krioli kubwa zaidi ni ile ya Haiti, yenye wasemaji zaidi ya milioni 10[4].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Krioli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.