Edmond Fischer : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''Edmond Fischer''' (amezaliwa 6 Aprili, 1920) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uswisi. Tangu 1950 aliishi nchini [...'
 
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Edmond Fischer Nobel Laureate 1992.jpg|thumbnail|right|200px|Edmond Fischer]]

'''Edmond Fischer''' (amezaliwa [[6 Aprili]], [[1920]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Uswisi]]. Tangu 1950 aliishi nchini [[Marekani]]. Hasa alichunguza [[protini]] na kazi yake ndani ya [[seli]]. Mwaka wa [[1992]], pamoja na [[Edwin Krebs]], alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.

Toleo la sasa la 12:32, 1 Agosti 2020

Edmond Fischer

Edmond Fischer (amezaliwa 6 Aprili, 1920) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uswisi. Tangu 1950 aliishi nchini Marekani. Hasa alichunguza protini na kazi yake ndani ya seli. Mwaka wa 1992, pamoja na Edwin Krebs, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edmond Fischer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.