Jean-Pierre Sauvage : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Nobel Laureates 0828 (30679373053).jpg|thumbnail|right|200px|Jean-Pierre Sauvage akiwa Stockholm nchini Sweden, 2016]]

'''Jean-Pierre Sauvage''' (amezaliwa [[21 Oktoba]], [[1944]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Ufaransa]]. Hasa alichunguza jinsi molekuli kubwa zinaweza kuunganishwa kwa shabaha ya kuunda injini ya kimolekuli. Mwaka wa [[2016]], pamoja na [[James Fraser Stoddart]] na [[Bernard Feringa]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]''' kwa michango yake ya kubuni na kuunda injini za kimolekuli<ref>"for the design and synthesis of molecular machines"</ref><ref name="NP-20161005">{{cite news|author=Staff|title=The Nobel Prize in Chemistry 2016|url=http://www.nobelprize.org/nobel_prizes/chemistry/laureates/2016/press.html|date=5 October 2016|work=[[Nobel Foundation]]|accessdate=5 October 2016}}</ref><ref name="NYT-20161005">{{cite news|last1=Chang|first1=Kenneth|last2=Chan|first2=Sewell|title=3 Makers of 'World's Smallest Machines' Awarded Nobel Prize in Chemistry|url=http://www.nytimes.com/2016/10/06/science/nobel-prize-chemistry.html|date=5 October 2016|work=[[New York Times]]|accessdate=5 October 2016}}</ref> <ref name="Davis Sample 2016">{{cite web|last=Davis|first=Nicola|last2=Sample|first2=Ian|title=live|website=theguardian|date=5 October 2016|url=http://www.theguardian.com/science/live/2016/oct/05/nobel-prize-in-chemistry-2016-to-be-announced-live|accessdate=5 October 2016}}</ref>.

Toleo la sasa la 14:14, 25 Julai 2020

Jean-Pierre Sauvage akiwa Stockholm nchini Sweden, 2016

Jean-Pierre Sauvage (amezaliwa 21 Oktoba, 1944) ni mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza jinsi molekuli kubwa zinaweza kuunganishwa kwa shabaha ya kuunda injini ya kimolekuli. Mwaka wa 2016, pamoja na James Fraser Stoddart na Bernard Feringa alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia kwa michango yake ya kubuni na kuunda injini za kimolekuli[1][2][3] [4].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "for the design and synthesis of molecular machines"
  2. Staff. "The Nobel Prize in Chemistry 2016", Nobel Foundation, 5 October 2016. Retrieved on 5 October 2016. 
  3. "3 Makers of 'World's Smallest Machines' Awarded Nobel Prize in Chemistry", New York Times, 5 October 2016. Retrieved on 5 October 2016. 
  4. Davis, Nicola; Sample, Ian (5 October 2016). "live". theguardian. Iliwekwa mnamo 5 October 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

5 Things to Know About ‘Molecular Machines’ , Time Magazine Oct. 5, 2016, iliangaliwa 23.10.2016

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean-Pierre Sauvage kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.