Oran : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Oran''' (kwa Kiarabu: وَهران, ''Wahrān'') ni mji muhimu wa pwani kaskazini-magharibi mwa Algeria. Ndio wa pili nchini baada...'
 
+pict
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:TRAMWAY ORAN 2.jpg|thumb|Oran]]
'''Oran''' (kwa [[Kiarabu]]: وَهران, ''Wahrān'') ni [[mji]] muhimu wa [[pwani]] [[kaskazini]]-[[magharibi]] mwa [[Algeria]].
'''Oran''' (kwa [[Kiarabu]]: وَهران, ''Wahrān'') ni [[mji]] muhimu wa [[pwani]] [[kaskazini]]-[[magharibi]] mwa [[Algeria]].



Pitio la 19:08, 2 Mei 2020

Oran

Oran (kwa Kiarabu: وَهران, Wahrān) ni mji muhimu wa pwani kaskazini-magharibi mwa Algeria.

Ndio wa pili nchini baada ya mji mkuu Algiers kwa biashara, viwanda na elimu.

Wakazi walihesabiwa kuwa 759,645 mwaka 2008,[1] lakini jiji lote linakadiriwa kuwa na watu 1,500,000[2][3].

Tanbihi

  1. "The provinces of Algeria and all cities of over 25,000 inhabitants". Citypopulation.de. Iliwekwa mnamo 2008-04-14. 
  2. Messahel, Abdellah (1 June 2008). "Une périurbanisation officielle dans un site contraignant". Espace populations sociétés. Space populations societies (2008/1): 89–99. doi:10.4000/eps.2408. Iliwekwa mnamo 23 June 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. About Oran—from the city's website.

Viungo vya nje

Oran travel guide kutoka Wikisafiri

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Oran kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.