Idd el Fitr : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 197.239.32.36 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Magioladitis Tag: Rollback |
Siku moja Tags: KihaririOneshi Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Picha:Sultan Ahmed Mosque mahya3.jpg|thumb|350px| |
[[Picha:Sultan Ahmed Mosque mahya3.jpg|thumb|350px|EID-EL. ADHW-HAA|alt=]] |
||
'''Idd el Fitr''' ([[Kiarabu]]: '''عيد الفطر''' ''‘idu l-fiṭr''; pia: '''Eid ul-Fitr''', '''Id-Ul-Fitr''', '''Iddul Fitri''', '''Iddi al Fitr''') ni [[sikukuu]] ya [[Uislamu|kiislamu]] inayomaliza mwezi wa [[Ramadan (mwezi)|Ramadan]]. Kipindi cha kufunga kinamalizika kwenye sikukuu hiyo. Ni sherehe ya siku tatu. |

Pitio la 21:16, 3 Agosti 2019
Idd el Fitr (Kiarabu: عيد الفطر ‘idu l-fiṭr; pia: Eid ul-Fitr, Id-Ul-Fitr, Iddul Fitri, Iddi al Fitr) ni sikukuu ya kiislamu inayomaliza mwezi wa Ramadan. Kipindi cha kufunga kinamalizika kwenye sikukuu hiyo. Ni sherehe ya siku tatu.
Idd el Fitr inaanza mara mwezi wa hilali umeonekana baada ya Ramadan.
Waislamu huvaa nguo safi mara nyingi nguo mpya na kutoa zawadi kwa maskini. Misikiti na nyumba mara nyingi zimepambwa. Ni nafasi ya kufurahia kati ya Waislamu.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |