Boya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa umeelekezwa kwenda Boyaokozi
Tag: New redirect
Removed redirect to Boyaokozi
Tag: Removed redirect
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Hamburg Hafen 53 (RaBoe).jpg|300px|thumb|Boya ya kijani kwenye [[mto Elbe]] (Ujerumani) inaonyesha mpaka wa njia ya maji]]
#REDIRECT[[Boyaokozi]]
[[Picha:Le Port de Toulon.jpg|300px|thumb|Boya la kufunga boti kwenye bandari ya Toulon, Ufaransa]]
'''Boya''' ni kifaa kinachowekwa katika maji ya bahari, ziwa au mto kwa kusudi mbalimbali.

Boya ama ni gimba lenye utupu ndani yake ili liweze kuelea kwenye maji, au ni gimba linalotengenezwa kwa mata isiyozama kama plastiki au ubao mwepesi.

Kazi za boya ni mara nyingi kuwa alama ya njia kwenye maji; boya zinaweza kudokeza mpaka ambako boti au meli haitakiwi kupita tena, au mwisho wa eneo linaloruhusiwa kwa watu wanaoogelea.

Boya inayohitaji kukaa mahali pamoja hufungwa kwenye tako la bahari; kwa kawaida huwa na nyororo iliyofungwa kweny jiwe kubwa au bloku ya saruji inayozamishwa mahali panapotakiwa.

Bandarini kuna boya kubwa zinazodokeza mahali pa kutia [[nanga]]. Boti ndogo zinaweza kufungwa moja kwa moja kwenye boya bila kuti nanga.

Boya zinazooyesha njia za maji (sehemu ambako kina cha maji yanatosha kwa meli) mara nyingi huwa na taa zikihitaji huduma ya kubadilisha beteri zao.

Boya za pekee huwa na vifaa vya upimaji; vinaweza kutumiwa kama kituo cha metorolojia , vingine huima hali ya bahari vikielea bila kufungwa na kutuma data kwa njia ya redio.

[[Boyaokozi]] si boya halisi bali kifaa cha kujiokoa wakati boti, meli au feri inazama na watu wanahitaji msaada wa kutozama.

[[jamii:Usafiri wa maji]]

Pitio la 21:46, 27 Mei 2019

Boya ya kijani kwenye mto Elbe (Ujerumani) inaonyesha mpaka wa njia ya maji
Boya la kufunga boti kwenye bandari ya Toulon, Ufaransa

Boya ni kifaa kinachowekwa katika maji ya bahari, ziwa au mto kwa kusudi mbalimbali.

Boya ama ni gimba lenye utupu ndani yake ili liweze kuelea kwenye maji, au ni gimba linalotengenezwa kwa mata isiyozama kama plastiki au ubao mwepesi.

Kazi za boya ni mara nyingi kuwa alama ya njia kwenye maji; boya zinaweza kudokeza mpaka ambako boti au meli haitakiwi kupita tena, au mwisho wa eneo linaloruhusiwa kwa watu wanaoogelea.

Boya inayohitaji kukaa mahali pamoja hufungwa kwenye tako la bahari; kwa kawaida huwa na nyororo iliyofungwa kweny jiwe kubwa au bloku ya saruji inayozamishwa mahali panapotakiwa.

Bandarini kuna boya kubwa zinazodokeza mahali pa kutia nanga. Boti ndogo zinaweza kufungwa moja kwa moja kwenye boya bila kuti nanga.

Boya zinazooyesha njia za maji (sehemu ambako kina cha maji yanatosha kwa meli) mara nyingi huwa na taa zikihitaji huduma ya kubadilisha beteri zao.

Boya za pekee huwa na vifaa vya upimaji; vinaweza kutumiwa kama kituo cha metorolojia , vingine huima hali ya bahari vikielea bila kufungwa na kutuma data kwa njia ya redio.

Boyaokozi si boya halisi bali kifaa cha kujiokoa wakati boti, meli au feri inazama na watu wanahitaji msaada wa kutozama.