Elbe
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mto Elbe)
Chanzo | Milima ya Krkonoše (Riesengebirge) |
Mdomo | Bahari ya Kaskazini |
Nchi | Ujerumani, Ucheki |
Urefu | 1,091 km |
Kimo cha chanzo | 1,386 m |
Tawimito upande wa kulia | Schwarze Elster, Havel, Löcknitz, Elde, Sude, Boize, Bille, Alster , Pinnau, Krückau, Stör |
Tawimito upande wa kushoto | Moldau, Eger, Mulde, Saale, Tanger, Aland, Jeetzel, Ilmenau, Este, Schwinge, Oste |
Mkondo | 711 m³/s |
Eneo la beseni | 148,268 km² |
Miji mikubwa kando lake | Dresden, Magdeburg, Hamburg |
Elbe ni mto mkubwa nchini Ujerumani na Ucheki.
Inaanza kwa jina la Kicheki "labe" katika milima ya Krkonoše (Kijer.: Riesengebirge) karibu na mpaka wa kaskazini ya Ucheki.
Inapita sehemu kubwa ya Ujerumani wa Mashariki na Kaskazini na kuishia katika Bahari ya Kaskazini. Kuanzia mji wa Hamburg mwendo wa mto hupanuka sana maana maji ya bahari kupwa na kupwaa hucheza huingia hadi hapa.
Elbe ni njia muhimu ya meli za mtoni. Meli kubwa za bahari zinafika hadi bandari ya Hamburg kwa kutumia mdomo mpana wa Elbe.
-
Elbe mpakani wa Ucheki na Ujerumani
-
Mchanga kando la mto
-
misitu kando la mto
-
Bandari ya Kale mjini Hamburg
-
Meli kubwa za kontena hupita sehemu ya mwisho wa Elbe
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Elbe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |