Boyaokozi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Boyaokozi chomboni.

Boyaokozi (kwa Kiingereza "lifebuoy") ni kifaa chepesi kitumikacho kwenye chombo cha kusafiria majini ikitokea shida ili kuokoa uhai wa watu na kufanya vitu vielee.

Boya ni kama puto ambalo hutumiwa na mtu asiyeweza kuogelea na humsaidia mtu huyo ili asiweze kuzama katika maji ya bahari, mto, bwawa na sehemu mbalimbali za kuogelea.

Mara nyingi boya hujazwa upepo kwa kutumia pampu au kijazio chochote cha kujazia upepo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: