Voyager 1 : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Voyager.jpg|thumb|300px|Voyager 1]]
[[File:Voyager.jpg|thumb|300px|Voyager 1]]
[[File:Voy1 8feb2012.jpg|thumb|300px|Njia ya Voyager 1 hadi mwaka 2012]]
[[File:Voy1 8feb2012.jpg|thumb|300px|Njia ya Voyager 1 hadi mwaka 2012]]
'''Voyager 1''' ni [[chombo cha angani]] kilichorushwa mwaka 1977 na shirika la [[NASA]] nchini [[Marekani]] kwa kusudi la kupeleleza anga katika [[mfumo wa jua]] letu hadi [[anga-nje]] kati ya nyota. Inaendelea kufanya kazi na kutuma data inayokusanya kwa kutumia vyombo vya upimaji ndani yake.
'''Voyager 1''' ni [[chombo cha angani]] kilichorushwa mwaka 1977 na shirika la [[NASA]] nchini [[Marekani]] kwa kusudi la kupeleleza anga-nje katika [[mfumo wa Jua]] letu hadi [[anga-nje]] kati ya nyota. Inaendelea kufanya kazi na kutuma data inayokusanya kwa kutumia vyombo vya upimaji ndani yake.


==Chomboanga cha mbali kutoka dunia==
==Chomboanga cha mbali kutoka dunia==
Voyager 1 ni chombo cha kutengenezwa na binadamu kilichofikia umbali mkubwa na dunia yaani 123.5 vizio astronomia vinavyolingana na kilomita bilioni 18.35; nuru ya jua inahitaji zadi ya masaa 17 kufikia voyager 1 (hali ya Desemba 2012).
Voyager 1 ni chombo cha kutengenezwa na binadamu kilichofikia umbali mkubwa na Dunia yaani 145 vizio astronomia vinavyolingana na kilomita bilioni 21.6; nuru ya Jua inahitaji zadi ya masaa 20 kufikia Voyager 1 (hali ya Mei 2019).


Mwaka 2012 ilitembea nje ya mzingo wa [[Pluto]] katika kanda ya heliosheath penye mata ya mwisho inayoshikwa na [[graviti]] ya [[Jua]] ikiandaa kuondoka katika mfumo wa jua letu kabisa na kuingia anga kati ya nyota.
Mwaka 2012 ilitembea nje ya mzingo wa [[Pluto]] katika kanda ya [[heliosferi]] penye mata ya mwisho inayoshikwa na [[graviti]] ya [[Jua]] ikiandaa kuondoka katika mfumo wa Jua letu kabisa na kuingia anga-nje kati ya nyota.


Voyager 1 ilipita karibu na sayari za Jupiter na Saturn na kupiga picha za sayari hizi na miezi yao. Inaendelea kupima mnururisho uliopo angani na kutuma data duniani. Inachukua nguvu yake kutoka beteri zenye [[plutoni]] nururifu zinazozidi kufifia. Imekadiriwa kwamba kifaa cha mwisho kinachoweza kupima data kitazimika mwaka 2013.
Voyager 1 ilipita karibu na sayari za Mshtarii na Zohali na kupiga picha za sayari hizi na miezi yao. Inaendelea kupima mnururisho uliopo angani na kutuma data duniani. Inachukua nguvu yake kutoka beteri zenye [[plutoni]] nururifu zinazozidi kufifia. Imekadiriwa kwamba kifaa cha mwisho kinachoweza kupima data kitazimika mwaka 2013.


==Kupita mipaka ya mfumo wa jua==
==Kupita mipaka ya mfumo wa jua==
Voyager 1 imeshapita katika [[Ukanda wa Kuiper]] ikieleka sasa kwenda [[wingu la Oort]]. Imeshapita eneo la [[heliosferi]].
Voyager 1 imeshapita katika [[Ukanda wa Kuiper]] ikieleka sasa kwenda [[wingu la Oort]]. Imeshapita eneo la [[heliosferi]].


Voyager 1 inaendelea huko gizani na mwezi wa Mei 2019 ilifika umbali wa [[km]] bilioni 21.6 au [[vizio astronomia]] (umbali kati ya Jua na Dunia) 145<ref>[https://voyager.jpl.nasa.gov/mission/status/ Mission Status], tovuti ya voyager.jpl.nasa.gov (Jet Propulsion Labaroty, CALTECH, Marekani), iliangaliwa 3 Mei 2019</ref>. Bado inatuma data kuhusu [[uga sumaku]] ya Jua. Watafiti kutoka Ugiriki (Dialynas Kostas na wengine) walitumia data zake pamoja na [[Voyager 2]] na [[Cassini-Huygens|Cassini]] kusema kumbe heliosferi ina umbo la tufe bila mkia mkubwa jinsi iliyoaminiwa awali.<ref>[Nature.com/articles/s41550-017-0115 Hitimisho la utafiti wa Kostas]</ref>
Voyager 1 inaendelea huko gizani na mwezi wa Mei 2019 ilifikia umbali wa [[km]] bilioni 21.6 au [[vizio astronomia]] (umbali kati ya Jua na Dunia) 145<ref>[https://voyager.jpl.nasa.gov/mission/status/ Mission Status], tovuti ya voyager.jpl.nasa.gov (Jet Propulsion Labaroty, CALTECH, Marekani), iliangaliwa 3 Mei 2019</ref>. Bado inatuma data kuhusu [[uga sumaku]] ya Jua. Watafiti kutoka Ugiriki (Dialynas Kostas na wengine) walitumia data zake pamoja na [[Voyager 2]] na [[Cassini-Huygens|Cassini]] kusema kumbe heliosferi ina umbo la tufe bila mkia mkubwa jinsi iliyoaminiwa awali.<ref>[Nature.com/articles/s41550-017-0115 Hitimisho la utafiti wa Kostas]</ref>


=== Picha za Mshtarii (Jupiter) zilizotumwa na Voyager 1 ===
=== Picha za Mshtarii (Jupiter) zilizotumwa na Voyager 1 ===
Mstari 23: Mstari 23:
</gallery>
</gallery>


=== Saturn ===
=== Zohali (Saturn) ===
<gallery>
<gallery>
image:Crescent Saturn as seen from Voyager 1.jpg|''Voyager 1'' image of Saturn from 5.3 million km four days after its closest approach.
image:Crescent Saturn as seen from Voyager 1.jpg|''Voyager 1'' image of Saturn from 5.3 million km four days after its closest approach.

Pitio la 13:38, 3 Mei 2019

Voyager 1
Njia ya Voyager 1 hadi mwaka 2012

Voyager 1 ni chombo cha angani kilichorushwa mwaka 1977 na shirika la NASA nchini Marekani kwa kusudi la kupeleleza anga-nje katika mfumo wa Jua letu hadi anga-nje kati ya nyota. Inaendelea kufanya kazi na kutuma data inayokusanya kwa kutumia vyombo vya upimaji ndani yake.

Chomboanga cha mbali kutoka dunia

Voyager 1 ni chombo cha kutengenezwa na binadamu kilichofikia umbali mkubwa na Dunia yaani 145 vizio astronomia vinavyolingana na kilomita bilioni 21.6; nuru ya Jua inahitaji zadi ya masaa 20 kufikia Voyager 1 (hali ya Mei 2019).

Mwaka 2012 ilitembea nje ya mzingo wa Pluto katika kanda ya heliosferi penye mata ya mwisho inayoshikwa na graviti ya Jua ikiandaa kuondoka katika mfumo wa Jua letu kabisa na kuingia anga-nje kati ya nyota.

Voyager 1 ilipita karibu na sayari za Mshtarii na Zohali na kupiga picha za sayari hizi na miezi yao. Inaendelea kupima mnururisho uliopo angani na kutuma data duniani. Inachukua nguvu yake kutoka beteri zenye plutoni nururifu zinazozidi kufifia. Imekadiriwa kwamba kifaa cha mwisho kinachoweza kupima data kitazimika mwaka 2013.

Kupita mipaka ya mfumo wa jua

Voyager 1 imeshapita katika Ukanda wa Kuiper ikieleka sasa kwenda wingu la Oort. Imeshapita eneo la heliosferi.

Voyager 1 inaendelea huko gizani na mwezi wa Mei 2019 ilifikia umbali wa km bilioni 21.6 au vizio astronomia (umbali kati ya Jua na Dunia) 145[1]. Bado inatuma data kuhusu uga sumaku ya Jua. Watafiti kutoka Ugiriki (Dialynas Kostas na wengine) walitumia data zake pamoja na Voyager 2 na Cassini kusema kumbe heliosferi ina umbo la tufe bila mkia mkubwa jinsi iliyoaminiwa awali.[2]

Picha za Mshtarii (Jupiter) zilizotumwa na Voyager 1

Zohali (Saturn)

Marejeo

  1. Mission Status, tovuti ya voyager.jpl.nasa.gov (Jet Propulsion Labaroty, CALTECH, Marekani), iliangaliwa 3 Mei 2019
  2. [Nature.com/articles/s41550-017-0115 Hitimisho la utafiti wa Kostas]

Viungo vya nje


Mradi wa Astronomia Makala hii imewahi kukaguliwa na kuboreshwa kwenye warsha ya pamoja ya Jenga Wikipedia ya Kiswahili, Wikimedia Community User Group Tanzania na ASSAT. Imepewa hali ya ulinzi. Tunaomba mapendekezo yote ya usahihisho na nyongeza zipelekwe kwanza kwenye ukurasa wa majadiliano