Kamari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 24: Mstari 24:
*[http://gaming.unlv.edu/ Center for Gaming Research] - at [[University of Nevada, Las Vegas]]
*[http://gaming.unlv.edu/ Center for Gaming Research] - at [[University of Nevada, Las Vegas]]
*[http://www.unr.edu/gaming/ Institute for the Study of Gambling and Commercial Gaming] at the [[University of Nevada, Reno]]
*[http://www.unr.edu/gaming/ Institute for the Study of Gambling and Commercial Gaming] at the [[University of Nevada, Reno]]
*[https://www.betwithus.com.au/live-betting/ Mfano wa aina mpya za kamari (Australia)]]


{{mbegu}}
{{mbegu}}

Pitio la 14:51, 25 Aprili 2019

Caravaggio, Wachezakarata, mchoro wa mwaka 1594 hivi.

Kamari (kutoka Kiarabu) ni mchezo wa bahati nasibu unaohusisha pesa au kitu kingine chenye thamani kama tuzo kwa mshindi. Tuzo hilo la kubahatisha ndio lengo la mchezo.

Sheria za nchi zinatofautiana kuhusu uhalali wake.[1][2][3]

Hata maadili ya dini yanatofautiana.[4][5][6][7][8]

Tatizo mojawapo kubwa ni kwamba wanaoshiriki michezo hiyo wanahitaji au kutamani sana utajiri, hivyo wakishindwa wanaweza kushawishika kucheza tena na tena hadi kufilisika. Baadhi ya wachezaji wa michezo hii hufikia hata kupata matatizo ya ugonjwa wa akili. Kuna tiba aina mbalimbali za kuwasaidia watu wanaoshindwa kuwa na uamuzi wa kuacha michezo hii.

Michezo ya kamari imekuwa biashara kubwa kimataifa, ikiwa na bajeti ya dola bilioni 335 mwaka 2009.[9] Umaarufu wa michezo kama vile soka na teknolojia mpya imefanya michezo hii kupata umaarufu wa kasi kubwa duniani.[10]

Tanbihi

  1. "Gambling and the Law®". 
  2. Humphrey, Chuck. "Gambling Law US". Gambling Law US. Iliwekwa mnamo 2012-09-22. 
  3. "UK Gambling Commission". Gamblingcommission.gov.uk. Iliwekwa mnamo 2012-09-22. 
  4. Bose, M. L. (1998). Social And Cultural History Of Ancient India (revised & Enlarged Edition). Concept Publishing Company. uk. 179. ISBN 978-81-7022-598-0. 
  5. Berel Wein. "Gambling". torah.org. Iliwekwa mnamo 20 July 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. Kucharek, Rev. Cass (1974). To settle your conscience a layman's guide to Catholic moral theology. Our Sunday Visitor. ISBN 0-87973-877-4. 
  7. Blaise Pascal: Mathematician, Physicist and Thinker about God, Donald Adamson (1995)
  8. International Association of Gaming Regulators: Members
  9. "You bet", The Economist, 8 July 2010. 
  10. Programu ya Playtech

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: