Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
49,094
edits
d (Bot: Migrating 64 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q80344 (translate me)) |
No edit summary |
||
[[Picha:Mount_Olympus_from_Litochoro.jpg|thumb|250px|Mlima Olimpos]]
'''Mlima Olimpos''' ([[Kigiriki]]: Όλυμπος, ''Ólympos'') ni [[mlima]] mrefu kuliko yote [[Ugiriki]]. Ni zaidi safu ndogo ya milima yenye vilele 52. Kilele cha juu ni Mytikas inayofikia mita 2,918 [[juu ya UB]].
Katika masimulizi ya [[mitholojia ya Kigiriki|mitholojia ya Ugiriki ya Kale]] mlima huu ulikuwa makao ya miungu yao.
{{mbegu-jio-Ugiriki}}
|