Mtumiaji:Tomson G Wiston : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Removing Kamusi_ya_kiswahili.jpg, it has been deleted from Commons by Christian Ferrer because: Mass deletion of copyrighted or other inappropriate content -.
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Photograph of Tomson.jpg|thumb|Tomson]]

== <u>'''UTAMBULISHO'''</u> ==
== <u>'''UTAMBULISHO'''</u> ==
Ni mwanafunzi wa kidato cha [[Pili]] katika shule ya Alfa na ni mwana klabu wa Wikipedia.[[Picha:Mosquito Tasmania.jpg|thumb|Mbu anayeeneza ugonjwa wa malaria]]
Ni mwanafunzi wa kidato cha [[Pili]] katika shule ya Alfa na ni mwana klabu wa Wikipedia.[[Picha:Mosquito Tasmania.jpg|thumb|Mbu anayeeneza ugonjwa wa malaria]]

Pitio la 13:21, 15 Oktoba 2017

Tomson

UTAMBULISHO

Ni mwanafunzi wa kidato cha Pili katika shule ya Alfa na ni mwana klabu wa Wikipedia.

Mbu anayeeneza ugonjwa wa malaria

MALARIA

Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na mbu aina ya anofelensi.Ugonjwa huu unaweza kumsababishia

mtu homa kali na pia unaweza kumsababishia kifo.Ugonjwa huu hutibiwa kwa dawa maalumu zijulikanazo

kwa jina la mseto.Pia katika utumiaji wa dawa hizi ni lazima utumie na dawa za maumivu zijulikanazo kwa jina

la panadol au paracetamol.



shati ninayoipenda

KAMUSI

Kamusi ni kitabu cha marejeo kinachomwelewesha mtumiaji kuhusu maana za misamiati mbalimbali,

maelezo yake na jinsi ya kutamka maneno hayo.Kuna aina tatu(3) za kamusi:

(i)Kamusi wahidiya

(ii)Kamusi thania

(iii)Kamusi mahuruti

Kwa lugha ya kiingereza kamusi inajulikana kama [[dictionary]

VITA VYA MAJIMAJI

Vita vya majimaji vilipiganwa mnamo mwaka 1905-1907.Kiongozi wa vita hivi kwa

watu wa Tanzania alikuwa ni Kinjeketile Ngwale.Vita hii ilikuwa ni upingaji mkali

dhidi ya utawala wa koloni la Ujerumani.Vita hivyo vilishirikisha baadhi ya makabila

ya wanyamwezi.