Rukia yaliyomo

Risasi : Tofauti kati ya masahihisho

8 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
==Risasi za kisasa==
[[Image:9mm P8 oder UZI.jpg|230px|thumb|right|Ramia ya kisasa ina risasi inayorushwa pamoja na ganda lilaoshika baruti ndani yake]]
Siku hizi risasi zote zinatengenezwa kiwandani na kuuzwa kama sehemu ya ramia. Risasi yenyewe mara nyingi bado ni ya [[plumbi]] ([[elementi]] ya risasi) lakini kwa kawaida risasi ina koti ya metali gumu zaidi kama [[shaba]] au [[feleji]].
 
Aina ya ganda inasababisha tabia tofauti tofauti za risasi. Ganda kamili ya kufunika risasi yote inaongeza nguvu; kama mtu anapigwa nayo risasi itapita kwenye mwili. Aina hii ni risasi ya kijeshi. Risasi kwa uwindaji zina ganda la sehemu tu inayopasuka wakati wa kupiga shabaha. Inaacha nichati yake katika shabaha maana yake ina nguvu zaidi ya kuua. Kufuatana na kanuni za kimatifa aina hii hairuhusiwi kwa matumizi ya kijeshi.