Muziki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[image:Music lesson Staatliche Antikensammlungen 2421.jpg|thumb|[[Mchoro]] wa [[Ugiriki wa Kale]] juu ya chombo ukionyesha kipindi cha muziki ([[510 KK]] hivi).]]
'''Muziki''' ni aina ya [[sanaa]] inayotumia [[sauti]] mbalimbali.
'''Muziki''' ni aina ya [[sanaa]] inayotumia [[sauti]] mbalimbali: za [[kibinadamu]] na za [[ala za muziki]], ama kwa pamoja au kila moja pekee.


[[Asili]] ya [[neno]] iko katika [[lugha]] ya [[Kigiriki]] ambamo huitwa ''μουσική'' (''mousikee''). Muziki hutumia sauti za [[kibinadamu]] na [[ala za muziki]] ama kwa pamoja au kila moja pekee.
[[Asili]] ya [[neno]] iko katika [[lugha]] ya [[Kigiriki]] ambamo huitwa ''μουσική'' (''mousikee'').


Baadhi ya sifa za muziki ni [[uzito wa sauti]] (''pitch'') na [[wizani]] au [[mahadhi]] (''rhythm'').
Baadhi ya sifa za muziki ni [[uzito wa sauti]] (''pitch'') na [[wizani]] au [[mahadhi]] (''rhythm'').
Mstari 7: Mstari 8:
Aina ya muziki inayopatikana kote [[duniani]] ni [[nyimbo]] ambazo ni maneno yanayotolewa kwa sauti na mahadhi fulani mara nyingi pamoja na ala za muziki.
Aina ya muziki inayopatikana kote [[duniani]] ni [[nyimbo]] ambazo ni maneno yanayotolewa kwa sauti na mahadhi fulani mara nyingi pamoja na ala za muziki.


== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya nje ==
{{lango|Muziki}}
{{commons|Music}}
{{refbegin|15em}}
* [http://www.bbc.co.uk/blast/ BBC Blast Music] For 13- to 19-year-olds interested in learning about, making, performing and talking about music.
* [https://web.archive.org/web/20141022022300/http://www.music.vt.edu/musicdictionary/ The Virginia Tech Multimedia Music Dictionary], with definitions, pronunciations, examples, quizzes and simulations
* [http://www.music-web.org/ The Music-Web Music Encyclopedia], for musicians, composers and music lovers
* [http://dolmetsch.com/musictheorydefs.htm Dolmetsch free online music dictionary], complete, with references to a list of specialised music dictionaries (by continent, by instrument, by genre, etc.)
* [http://www.naxos.com/education/glossary.asp Musical Terms] – Glossary of music terms from Naxos
* [http://www.uned.es/dpto_fil/revista/polemos/articulos/MA_Quintana_On%20Hermeneutical%20Ethics%20&%20Education%20(Internet)2.doc "On Hermeneutical Ethics and Education: Bach als Erzieher"], a paper by Prof. Miguel Ángel Quintana Paz in which he explains the history of the different views hold about music in Western societies, since the Ancient Greece to our days.
* [http://www.bsmny.org/features Monthly Online Features From Bloomingdale School of Music], addressing a variety of musical topics for a wide audience
* [http://www.musicfoundations.org/pages/3/index.htm Arts and Music Uplifting Society towards Transformation and Tolerance] Articles meant to stimulate people's awareness about the peace enhancing, transforming, communicative, educational and healing powers of music.
* [http://www.scientificamerican.com/podcast/episode.cfm?id=musical-chills-related-to-brain-dop-11-01-09 Scientific American, ''Musical Chills Related to Brain Dopamine Release'']
{{refend}}

{{mbegu-muziki}}
{{mbegu-muziki}}


[[Jamii:Muziki|*]]
[[Jamii:Muziki|*]]
[[Jamii:Sanaa]]
[[Jamii:Utamaduni]]

Pitio la 13:04, 15 Septemba 2017

Mchoro wa Ugiriki wa Kale juu ya chombo ukionyesha kipindi cha muziki (510 KK hivi).

Muziki ni aina ya sanaa inayotumia sauti mbalimbali: za kibinadamu na za ala za muziki, ama kwa pamoja au kila moja pekee.

Asili ya neno iko katika lugha ya Kigiriki ambamo huitwa μουσική (mousikee).

Baadhi ya sifa za muziki ni uzito wa sauti (pitch) na wizani au mahadhi (rhythm).

Aina ya muziki inayopatikana kote duniani ni nyimbo ambazo ni maneno yanayotolewa kwa sauti na mahadhi fulani mara nyingi pamoja na ala za muziki.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.