Rekodi kuu za umma
Mandhari
Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za Wikipedia kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).
- 16:42, 2 Juni 2024 Helmina Mapunda majadiliano michango created page Sumu kuvu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sumu kuvu''' ni sumu zitolewazo na aina ya ukungu kuvu (fangasi) unaoota kwenye mbegu za nafaka aina jamiii ya kunde, mazao ya mizizi, karanga, vyakula na malisho wanyama vikiwa shambani au kwenye ghala. Sumu hizi hazionekani kwa macho, haina harufu, haina kionjo, wala rangi, lakini kuvu anayetoa sumu izo anaweza kuwa na rangi ya kijani, chungwa, kijivu au njano na anaweza kutoa harufu ya uvundo<ref>https://cgspace.cgiar.org/server/api/core/bitstreams/...')
- 13:51, 16 Mei 2024 Helmina Mapunda majadiliano michango created page Uchumi wa blue (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''uchumi wa bluu''', ni matumizi sahihi ya rasilimali zipatikanazo majini ili kukuza uchumi na uboreshaji wa maisha huku mfumo wa ikolojia ya bahari ukihifadhiwa.<ref>https://www.un.org/regularprocess/sites/www.un.org.regularprocess/files/rok_part_2.pdf</ref> Rasilimali hizi zinajumuisha zote zipatikanazo katika maji safi na bahari, hii ni pamoja na ukanda wa pwani, maziwa, mito na maji chini ya ardhi.<ref>https://www.eac.int/environment/aquatic...')
- 12:59, 4 Mei 2024 Helmina Mapunda majadiliano michango created page Narriman Jidawi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Narriman Jidawi''' ni mhadhiri mkuu katika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, idara ya sayansi ya baharini<ref>https://www.sit.edu/sit_faculty/narriman-jiddawi-phd/</ref>. Ni mtaalamu katika kufundisha na utafiti kwenye sayansi ya bahari, kazi zake katika sayansi ya bahari zinajikita katika uchambuzi wa kijaamii na kiuchumi,uundaji wa sera, uwezeshaji wa wadau ili kukuza uhifadhi wa bahari<ref>https://www.researchgate.net/pr...')
- 10:56, 4 Mei 2024 Helmina Mapunda majadiliano michango created page Evelyne Isaack Mbede (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Evelyne Isaack Mbede''' ni Profesa wa sayansi ya Dunia kutoka chuo kikuu cha Dar Es Salaam<ref>https://twas.org/article/evelyne-isaack-mbede-wins-cnr-rao-award</ref> ==Historia== Alizaliwa nyanda za juu kusini magharibi mwa Tanzania.Alijiunga na chuo kikuu cha Dar Es Salaam na kupatata shahada ya kwanza katika jiolojia mnamo mwaka 1982, pia alipata shahada ya uvamili katika ''Impirial Collage, University of Londona'' mwaka 1984<ref>https://...') Tag: Visual edit: Switched
- 09:19, 4 Mei 2024 Akaunti ya mtumiaji Helmina Mapunda majadiliano michango iliundwa